Xin shan low
Member
- Jun 26, 2025
- 94
- 52
Wewe ni daktariMimi nna wanangu nawaaminia sana
Wananitibu mimi na familia yangu
Kwani mganga ni daktari?Wanasema mganga hajitibu mjuba
Kwani maji yakilowa(na) yanakaushwa na niniLeo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme
ndio, mtoa tiba huitwa mgangaKwani mganga ni daktari?
Hapana ni dalaliWewe ni daktari
Kuna madalali wa kupeleka watu hospitali pia?Hapana ni dalali
Basi mi najua mganga ni miti shambandio, mtoa tiba huitwa mganga
Daktari jeMganga hajigangi
Maji yanalowana au yanaloweshaKwani maji yakilowa(na) yanakaushwa na nini
Kuna mda atahitaji msaada wa madaktari wenzieDaktari je
it depends.Pia elewa sanaa ya MedicalLeo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme
A na B ni sawaMaji yanalowana au yanalowesha