Hivi daktari akiumwa nae huenda kwa daktari? Au hujitibu tu mwenyewe?

Leo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani

Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine

Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme
Mganga hajigangi.
 
Padre anaungama wapi
 
Back
Top Bottom