Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mganga hajigangi.Leo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme
Mbona sisi waganga wa kupiga tunguri tunajiganga?Mganga hajigangi.
Mganga hajigangi.Wanasema mganga hajitibu mjuba
Padre anaungama wapiLeo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme