Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Lubumbashi kuzimu ya DarNaomba kuuliza. Hivi Dar kuna baa ambazo wanaruhusiwa kuingia wanachama wa baa hiyo tu?
Kuzimu ukiimanisha nn mkuuuLubumbashi kuzimu ya Dar
USSR
Ungenitaja tu jina langu sina noma, nilikuita uje pale ile siku kwa ajili ya ule mchezo wetu baada ya pale, si unakumbuka?kapital, Victoria nadhaniβ¦.Siijui jina vizuri nimeenda twice tu kwa access ya mtu.
Dah πππ mkuu nikiachika jiandae kunioa!Ungenitaja tu jina langu sina noma, nilikuita uje pale ile siku kwa ajili ya ule mchezo wetu baada ya pale, si unakumbuka?
Kama nilivyosema, sina noma......wewe nibeep tu, utanikuta pale pale Victoria mjengoni nakusubiri twende peponi.Dah πππ mkuu nikiachika jiandae kunioa!
Kwahiyo mtu anajisajili kuwa member wa bar?? [emoji28][emoji28][emoji28]