Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa

Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu wagawane, jamaa alitapeliwa mpaka viatu alirudi nyumbani peku tena kwa mguu kutoka kariakoo mpaka mbezi kimara
 
Back
Top Bottom