Hivi Dar kuna nini kinachowamaliza wanaume?

Dar kuna nini lakini mbona wanaume wanaukimbia uanaume wao sana sana wakiwa Dar?

mbona nasikia kuna mzunguko mkubwa sana wa Hela, sasa inakuwaje tena wasihangaike kutafuta?

View attachment 2619765View attachment 2619766View attachment 2619767
Watu wanatafuta umaarufu wa kijinga tu,


Tamaa hizi mbaya sana unataka ujulikane ili hali kipaji huna, thamani huna, hela huna,

Basi tu attention seeking so sad,


Ila mambo yao tuwaachie wenyewe 😒😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…