Hivi Dar kuna tatizo gani?

Hivi Dar kuna tatizo gani?

Wanaume wa mikoani buaanaa....Mpaka wanaume wa Dar wawakaze ndio mtawaheshumu

...huwa inakuwaga hivyo sababu huwa wakija Dar wanarukia treni kwa mbele ,wanajifanya wajuaji ...mwisho wanaishia kuolewa
 
Sasa we ulitegemea Mbwa wako umlishe chipsi mayai, sausage na soda halafu usiku abweke.?
Mbwa wa huku bara anakula Dona na nyama ya polini na akiugua homa anatafuna mizizi mziki wake lazima mtu aombe po.!
Wataanzia wapi kwa mfano....
 
Nimefikia kujiuliza hili swali bila mupata majibu.
Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa:=
1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa ya nguvu za kiume & Mvuto wa mapenzi nk.
2. Vibanda vingi vya kuuza supu ya pweza ambayo wenyeji wa hapo wanasemaga eti inaongeza "nguvu za kiume na kuchelewa kumaliza"
3.Vijana walioamua kutumika kama mboga (mashoga) wengi wako hapa.
4.Asilimia kubwa ya vijana wanaopaka poda,rangi za midomo, kujipodoa na kuvaa zile "sarawili" za kubana makalio kama dada zao huku wakishindania uzuri wa sura na umbo kama watoto wa kike.
5. Na kubwa zaidi leo nimekutana na jamaa mmoja hapa Dom ambaye anachonga miti mfano wa mb.o.o au dushe a.k.a."mshedede"
anasema huwa anaenda kuziuza Dar.!
Anadai kuwa huwa anaondoka ijumaa jioni na kulala Dar kisha Jumamosi anauza mzigo na Jumapili kisha Jumatatu anarudi Dom kuchonga "mashine" zingine
Na kila safari anaondoka na kiasi kisichopungua 500 Pcs.
Sasa najiuliza tatizo kubwa nini.?
Najua kwa idadi ya "mishedede"
ya mbao inayoletwa kila wiki huko lazima kuna baadhi ya wadada wako humu ambao walishajinunulia "mitalimbo" hiyo waseme basi tatizo kubwa ni nini.?
Kama waganga wapo wengi,vibanda vya supu ya pweza kila kona.
Povu ruksa.!!!
NB: akiba haiozi-nunua jeneza lako leo ili siku ukifa nduguzo wasihangaike.[emoji12]
Ndo mjini na fasheni life is change kwani shida ipo wapi?
mjini chuo kikuuu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana aiseeh haitokaa itokee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe nmekosea, apa Kuna watu wengi huwez kusema [emoji12] [emoji12]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Population tu ndio chanzo cha hayo yote,population hii ingekuwa nangwanda huko ungekuta sarakasi zote hizi ziko huko
 
Nimefikia kujiuliza hili swali bila kupata majibu.

Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa;

1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa ya nguvu za kiume & Mvuto wa mapenzi nk.

2. Vibanda vingi vya kuuza supu ya pweza ambayo wenyeji wa hapo wanasemaga eti inaongeza "nguvu za kiume na kuchelewa kumaliza".

3.Vijana walioamua kutumika kama mboga (mashoga) wengi wako hapa.

4.Asilimia kubwa ya vijana wanaopaka poda, rangi za midomo, kujipodoa na kuvaa zile "sarawili" za kubana makalio kama dada zao huku wakishindania uzuri wa sura na umbo kama watoto wa kike.

5. Na kubwa zaidi leo nimekutana na jamaa mmoja hapa Dom ambaye anachonga miti mfano wa mb.o.o au dushe a.k.a."mshedede" anasema huwa anaenda kuziuza Dar.

Anadai kuwa huwa anaondoka ijumaa jioni na kulala Dar kisha Jumamosi anauza mzigo na Jumapili kisha Jumatatu anarudi Dom kuchonga "mashine" zingine
Na kila safari anaondoka na kiasi kisichopungua 500 Pcs.

Sasa najiuliza tatizo kubwa nini. Najua kwa idadi ya "mishedede" ya mbao inayoletwa kila wiki huko lazima kuna baadhi ya wadada wako humu ambao walishajinunulia "mitalimbo" hiyo waseme basi tatizo kubwa ni nini? Kama waganga wapo wengi, vibanda vya supu ya pweza kila kona. Povu ruksa.

NB: Akiba haiozi-nunua jeneza lako leo ili siku ukifa nduguzo wasihangaike.[emoji12]
Hapa namba 3. Wanaokula mashoga wanatoka mikoani au
 
Nimeskia et Dar wanyime Vifurushi vyote, ila uwape cha JazaUjazwe
 
View attachment 516289Nimefikia kujiuliza hili swali bila mupata majibu.
Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa:=
1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa ya nguvu za kiume & Mvuto wa mapenzi nk.
2. Vibanda vingi vya kuuza supu ya pweza ambayo wenyeji wa hapo wanasemaga eti inaongeza "nguvu za kiume na kuchelewa kumaliza"
3.Vijana walioamua kutumika kama mboga (mashoga) wengi wako hapa.
4.Asilimia kubwa ya vijana wanaopaka poda,rangi za midomo, kujipodoa na kuvaa zile "sarawili" za kubana makalio kama dada zao huku wakishindania uzuri wa sura na umbo kama watoto wa kike.
5. Na kubwa zaidi leo nimekutana na jamaa mmoja hapa Dom ambaye anachonga miti mfano wa mb.o.o au dushe a.k.a."mshedede"
anasema huwa anaenda kuziuza Dar.!
Anadai kuwa huwa anaondoka ijumaa jioni na kulala Dar kisha Jumamosi anauza mzigo na Jumapili kisha Jumatatu anarudi Dom kuchonga "mashine" zingine
Na kila safari anaondoka na kiasi kisichopungua 500 Pcs.
Sasa najiuliza tatizo kubwa nini.?
Najua kwa idadi ya "mishedede"
ya mbao inayoletwa kila wiki huko lazima kuna baadhi ya wadada wako humu ambao walishajinunulia "mitalimbo" hiyo waseme basi tatizo kubwa ni nini.?
Kama waganga wapo wengi,vibanda vya supu ya pweza kila kona.
Povu ruksa.!!!
NB: akiba haiozi-nunua jeneza lako leo ili siku ukifa nduguzo wasihangaike.[emoji12]
Mhhhhhhh ss ivo vimbao mbona n vidogo sana vinatofauti gan na vibamia dunia hii inamambo
 
Dar ndio Tanzania,ukiona hvyo jiulize Tanzania kuna nn ???
 
Back
Top Bottom