Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nitakustua MKATA KIU ila ujue kabisa kuwa Party ikiisha nakuja kulala kwako,Kino mbali.
Sasa kama una mke, mpeleke kwao kabisaaaaa....!!!!!
Sitaki tabu mieeeeee.
unataka kuzamia kwa watu?
unataka kuzamia kwa watu?
Mi sina la kusema zaidi ya kuweka feni vizuri si unajua bongo joto....
Usijali bachelor tu mke nimtoe wapi? Karibu sana tuijaze dunia
Funga na
AC kabisa maana lile panga boi sometimes lina kelele ya ajabu, stim
zitakatika.
Duuh sasa mbona mnapanga
mipango ambayo i ya kujaza dunia tenaa ee??? Mi mgen Dar sasa sijui hiyo
baa ipo wap??
Mhhhhhh!!!!!!!!
Mbona nikiunganisha dots napata picha flani hv....!!!!!!!!
Panga boi lina kelele?
Ulijuaje?
Usijali bachelor tu mke nimtoe wapi? Karibu sana tuijaze dunia
Mi sina la kusema zaidi ya kuweka feni vizuri si unajua bongo joto....
Hapana,
nimesikia kanunua godoro jipya sasa ndo nataka nikalitest kama linafaaa kwa matumizi ya Binadamu.
Nahitaji Like yako hapa.
Na sisi wa rock city je?
Na sisi wa rock city je?