Hivi dar members hatuwezi kukutana???


Hahahaha! Mkuu naona unajipigia pande kiaina. Yaani unapiga kona afu unawahi kwenda kufunga mwenyewe..... Khaa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Mkuu naona unajipigia pande kiaina. Yaani unapiga kona afu unawahi kwenda kufunga mwenyewe..... Khaa!

Si kipaji na majaaliwa tu mkuu!!??? unajua sometimes huwa hadi najishangaa the extent of my potentiality is dangerously great
 
Wewe nna haja ya kukutongoza? Kuku wangu mwenyewe??

Sema muda wa kukutana fasta. wengine tuna mnuso, kuna watu wanakabiziana vikojoleo kwa bei ya jumla hiyo siku.

Hv hujui kama mimi ni muke ya Lawyer?
Huna hamu ya kwenda haja debeni wewe.
Tumepanga tukutane kuanzia saa saba mchana.

Utakavyokuja ndivyo utakavyoondoka,
sio uje utegemee uondoke na Madame B.

ONYO
Siku hiyo unywe kistaarabu,usitegemee kubebwa juu juu bure mpaka kwako ukishazima mezani.
 
Last edited by a moderator:
Si kipaji na majaaliwa tu mkuu!!??? unajua sometimes huwa hadi najishangaa the extent of my potentiality is dangerously great

Noted with many thanks..

Popote mlipo cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho natarajia hamtahuzuria hii hafla ya Madame B kwa mustakabali na faida ya ndoa yetu.

Well mi ntafika kwa ajili ya logistics
 
Last edited by a moderator:
Dar maisha ya visasi sana hivyo tunaogopana.
 
Yaani ningepata wa kunifadhili nauli, ningemtoroka Paw nikaja dar kushangaa maghorofa na walevi wa mjini. Basi tena, mekula kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…