Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Kumbe unavaaga Shanga Madame B? Im tempted.......
Kwa nini hutaki na sisi tunufaike na hilo somo la Shanga?

Wewe nitakuita chumbani kwangu ili nikuoneshe in Praktiko na Thiori.
 
mambo ya nafsa yale, kiuno teketeke, hata ningenasana na yule wa temeke jana! Ningetoka haraka sana jinsi amabvyo ningekizungusha mpaka mwangio usinyae, chezeiya kungwi Zinduna weye?
Nakuja pm, murembo, tuliza ball!

Chezea kiuno wewe.
Raha sana, utamu wa muwa,ukate kifundo.
 
Last edited by a moderator:
Asprin Shikamoo
Babu jioni naomba tukutane kwa mishikaki weekend ndo vileee inaanza
 
Last edited by a moderator:
Asprin Shikamoo
Babu jioni naomba tukutane kwa mishikaki weekend ndo vileee inaanza

Marahaba mwaego. Unapakumbuka pale tulipokaa siku ile? Pale si mbali na Brajec...... Utakuja? Bado nna mahaba yako ujue.....

Afu ole wako unionee aibu tena, ntakutia bakora!
 
Last edited by a moderator:
ugonjwa mbaya kiaje mamii?
Hebu nipe shule, manake kama ni kuwa addicted ndo nakaribia karibia..
shule yoteeeeeeee atamaliza shostito Madame B, vuta subira kaka! Lol, ila hilo chicha likikukolea, mie thimooooooo!
 
Last edited by a moderator:

Hhahaha mi nilipata hifadhi ya kisiasa kwa cacico..... ningerudi na yale madoa kama chui mama yoyoo angeyahamishia kwenye mwili wangu .
 
you gays am not around napenda sana niwepo ila ndo hivyo. nakomaa na nyanga si unajua shule za uzeeni? tena ambazo ni applied?

kwani uko wapi mi ntakufwata hukohuko.... ili usiwe mpweke wakati wengine wanaranduka braject mi visa ya kesho ishatoka inaexpire saa 8 usiku
 

hata mi nahitaji kukumbatiwa... alaa unaanza kunichuria...
acha kuwatafutia watu sababu kwasababu wewe haupo..... hahaha waache waje kama hao wadada wasipokuja unafikri kinywaji kitashukaje..shangwe itatoka wapi.. raha ya pilau kachumbari....
Umeadimika tutumie hata picha kama hutakuja kwe......
Mkuu Nicas na Mtambuzi je tutarudi na roho zetu...
 

Nipm nataka nimnunulie mtu suprise....
Mentor ashakuwa yule usione ule wembamba wa reli.....tu.. hao ndio wanasimamia kucha za miguu utasikia tu mlio msiba si masiba harusi si harusi ndio utakapo jua Man at work kwenye vile vibao vya barabarani vinamaanisha nini
 

makubwaaa! Nilishaanza safari ya kuja dsm. Sasa sijui nafanyaje hapa
 
Last edited by a moderator:
Marahaba mwaego. Unapakumbuka pale tulipokaa siku ile? Pale si mbali na Brajec...... Utakuja? Bado nna mahaba yako ujue.....

Afu ole wako unionee aibu tena, ntakutia bakora!

hahaha pale pale ..aibu ya nini babu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…