Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Hhahaha mi nilipata hifadhi ya kisiasa kwa cacico..... ningerudi na yale madoa kama chui mama yoyoo angeyahamishia kwenye mwili wangu .

Na kesho urudie tena,takupaka tena Lipstic mpaka machoni afu mama yoyoo alete zengwe.
 
Mwambie kabisa huyo TANMO,
tena nitampeleka mbali sana kimawazo.
Sema chicha likimkolea naogopa anaweza akamkimbia mkewe.
Naogopa mieeee
we cacico nisije mvunja TANMO kiuno.
chunga msinanasane, maana mumeo naskia kenda afghanistan asubuhi ya jana! cjui nani atategua tego!
 
cacico hujambo shemeji yangu kipenzi?
 
Last edited by a moderator:
chunga msinanasane, maana mumeo naskia kenda afghanistan asubuhi ya jana! cjui nani atategua tego!

Shost bhana,
Mme wangu kasema atarudi mwakani,hivyo now niko free ndo mana nikamuagiza gfsonwin yale makitu ya vibration.

Afu cacico hebu nambie pale chimbo, Nicas Mtei aliyeyukaje?
Me nimegeuka huku,kurudi,sijamuona.
 
Last edited by a moderator:
Je , fursa sawa kwa wote ? niambieni ili nigonge visa kabisa ya kurudi home jumapili.
 
Shost bhana,
Mme wangu kasema atarudi mwakani,hivyo now niko free ndo mana nikamuagiza gfsonwin yale makitu ya vibration.

Afu cacico hebu nambie pale chimbo, Nicas Mtei aliyeyukaje?
Me nimegeuka huku,kurudi,sijamuona.

Usitake kufukua yasiyotakiwa hapa. Ishia hapohapo.
 
Last edited by a moderator:
sasa ole wako usiniwekee order!mji utauona mchungu huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…