Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

tatizo anarudia rudia staili ile ile aliyotumia kuimba kwenye ule wimbo wa muziki
 
Huyu jamaa ni mbahatishaji, kila ngoma yake mpya anayotoa lazima ifanane na ile ya maisha na mziki kuanzia beat flow style nk.

njia aliyookotea pesa Jamaa hataki kubadili, kila siku anapita njia hiyo hiyo
 
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingune zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
Nyimbo zake zote ziko vile vile, hata ile muziki me sikujua watu waliupendea nini (sikuupenda) na style yake ni ile ile, ukichunguza flow yake, mashairi yake yaliyobeba maneno fulani fulani ya mtaani (mara nyingi yana utoto fulani hivi au niseme maneno yanayopendwa na watoto) naona yuko vile vile ni msanii mzuri ila sio msanii mkali (average tu don't expect much from him)
 
Chanda Chema na Leo ziko[emoji95][emoji95]
 
Aliotea mziki basi toka hapo anahisi akibadiriki atatupoteza mashabiki ila kwa sasa hana jipya anaungaunga manrno tu.
 
4myself darassa mikwaju yakeambayo sjawahi choka kuskliza ni weka ngoma ft lameck ditto sikatitamaaa zote mbili og&remix love is blind ft mwasiti nachanda chema ft mariooo zngne nyng huwa Kama nzur bc znakifu saaana
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingune zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
 
Darassa jamaa anatuangusha sana,katoa boko jingine kamshirikisha Maua Sama,jamaa sijui maprodyuza wake hawamshauri vizuri?
 
Back
Top Bottom