Hivi DAWASA haina msimamizi?

Hivi DAWASA haina msimamizi?

Joined
Oct 20, 2019
Posts
19
Reaction score
55
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.

DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi inakuwa ngumu.

Nimeshaongaa leo nikiwa mitaa ya Mbezi Luis, nilipiga simu kwa wauza Maji wa kwenye magari, akaniambia ataniletea Maji muda si mrefu kwa kuwa anakaribia DAWASA Mbezi kuchukua Maji. Nikashikwa na butwaa, yaani hawa DAWASA wanaotakiwa watufungulie Maji, wanauza Maji kwa wauzaji wa Maji ili sisi tununue kwa Bei ya juu.
Hiki kinachofanyika ni hujuma ya wazi dhidi ya wananchi, serikali iliangalie hili suala.

Waziri wa Maji chukua hatua kuwawajibisha viongozi wa DAWASA. Kama waziri hawezi kuzisimamia idara zilizopo chini yake ni bora ajiuzulu.

Swali la kujiuliza , je ni nani ananufaika na hujuma inayofanywa na DAWASA? Je viongozi hawajali yanayoendelea ?
 
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi inakuwa ngumu.
Nimeshaongaa leo nikiwa mitaa ya Mbezi Luis, nilipiga simu kwa wauza Maji wa kwenye magari, akaniambia ataniletea Maji muda si mrefu kwa kuwa anakaribia DAWASA Mbezi kuchukua Maji. Nikashikwa na butwaa, yaani hawa DAWASA wanaotakiwa watufungulie Maji, wanauza Maji kwa wauzaji wa Maji ili sisi tununue kwa Bei ya juu.
Hiki kinachofanyika ni hujuma ya wazi dhidi ya wananchi, serikali iliangalie hili suala. Waziri wa Maji chukua hatua kuwawajibisha viongozi wa DAWASA. Kama waziri hawezi kuzisimamia idara zilizopo chini yake ni bora ajiuzulu.

DAWASA ni chaka la Wahaya,kuna uhuni mwingi sana ndani mule!
 
Alipotolewa Luhemeja pale nikajua DAWASA kwisha habari. Mtu anapofanya vizuri mahali, aachwe. Mamlaka ziwe makini sana.
 
"Changamoto ya Umeme..
Si unajua umeme hakuna...
Mitambo haiwaki bila umeme...
Changamoto ya Umeme kwenye mitambo..
Maji hayana presha"

Kiula Kingu
Afisa Mtendaji - DAWASA

Source: TBC1 KIOO
 
"Changamoto ya Umeme.. Si unajua umeme hakuna
Changamoto ya Umeme kwenye mitambo..
Maji hayana presha"

Kiula Kingu
Afisa Mtendaji - DAWASA

Source: TBC1 KIOO
Huyu CEO aondoke maramoja.Arudishwe Ruhemeja waliomuondoa kwa mizengwe
 
Maji hawayasafishi,yanachanganyiks na tope.
 
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi inakuwa ngumu.
Nimeshaongaa leo nikiwa mitaa ya Mbezi Luis, nilipiga simu kwa wauza Maji wa kwenye magari, akaniambia ataniletea Maji muda si mrefu kwa kuwa anakaribia DAWASA Mbezi kuchukua Maji. Nikashikwa na butwaa, yaani hawa DAWASA wanaotakiwa watufungulie Maji, wanauza Maji kwa wauzaji wa Maji ili sisi tununue kwa Bei ya juu.
Hiki kinachofanyika ni hujuma ya wazi dhidi ya wananchi, serikali iliangalie hili suala. Waziri wa Maji chukua hatua kuwawajibisha viongozi wa DAWASA. Kama waziri hawezi kuzisimamia idara zilizopo chini yake ni bora ajiuzulu.
Swali la kujiuliza , je ni nani ananufaika na hujuma inayofanywa na DAWASA? Je viongozi hawajali yanayoendelea ?
Mkuu poleni kwa kadhia hii
 
DAWASA is a total failure. Yaani hadi leo maji ni kero tupu? Ukiwauliza tatizo nini hawasemi, wanadai tunashughulikia, nimewaomba watoe hata ratiba ya mgao ili tutunze maji hawataki, maji wanafungua bila utaratibu, mara Ijumaa mara Jumapili yaani hata tunashindwa kujua tujipangeje.
Wakati wa Elnino tuliaminishwa miundombinu imeathirika, leo ni mwezi Julai. Huenda kuna hujuma au wanashirikiana na wauza maji. Watoe ratiba ya mgao ili tujiandae, wanavyotufanyia sio sawa, tunastahili kupewa taarifa, EWURA wao wanajifanya hawaoni wala kujua shida ya DAWASA.

Vv
 
Back
Top Bottom