Mkuu sema kweli?si kuna taarifa kwamba tayari Dally Kimoko amemtembelea ndio maana Zari akaondoka? Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, Mambo mengi ya kipuuzi anayoyafanya kwa sasa tumsamehe gitaa la Kimoko sio mchezo
MskiZe Juma Nature kwenye ile nyimbo yake ya "SI ULITAKA CHAI...."Katembelewa na Dali Kimoko.. Hebu fafanua maana yake, maana nimetoka kapa
Daaah! Mkuu mpk Mitalo!Mwache awakaze tu wakati hakuwa na hela alikuwa anashibia kwa macho na ninyi mnamwambia atafute hela sasa kazipata mnamsimanga tena,Mimi nazisaka sasa hivi nimizipata tu nakula huku nikizibua na mitalo tu
CjaelewaNice u wapi
Badala ya kutafuta senti, umeng'ang'ana tu mambo ya insta.Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .
Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
HahahahaUzuri zari Ana life lake , angekua goalkeeper kama tununu angekua bado anakazana kwa domo
Mbona mnazunguka sana mnahofia nn?MskiZe Juma Nature kwenye ile nyimbo yake ya "SI ULITAKA CHAI...."
Mama yako kafanya nini tena hata umuanike hadharani namna hii?Huu nao umama
Want him ti stand rhythm!Sasa wewe inakuuma nini? is he your sibling? don't you have recalcitrant kids in your family..? just deal with your umpteen family problems, let him stand solo
Kisa kasaidia basi ruksa kufanya ufuska!Wakifanya wasanii wengine,ndani!unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50
kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadanu mwenzako atibiwe??
unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?
unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??
vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
Dah mbona hatari hiyo...Anasambaza Minyenyere makusudi ni Hatari sana.
Miwaya, ngoma aka minyenyereKatembelewa na Dali Kimoko.. Hebu fafanua maana yake, maana nimetoka kapa