Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Mwache awakaze tu wakati hakuwa na hela alikuwa anashibia kwa macho na ninyi mnamwambia atafute hela sasa kazipata mnamsimanga tena,Mimi nazisaka sasa hivi nimizipata tu nakula huku nikizibua na mitalo tu
Daaah! Mkuu mpk Mitalo!
 
Kwani pesa si zake?? mwache tuu ale jasho lake!.. Mwanaume atakula kwa jasho lake!..
 
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .

Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
Badala ya kutafuta senti, umeng'ang'ana tu mambo ya insta.
Mwenzako anapanga aanze show za nchi gani saizi
 
Baadhi ya wanacommenter
IMG_20181015_082619_452.jpg
 
Nyota imeondoka zake milele walahi
 
Sasa wewe inakuuma nini? is he your sibling? don't you have recalcitrant kids in your family..? just deal with your umpteen family problems, let him stand solo
 
Watanzania wengi ni wapvmbavu kama mleta uzi. Yaani unaamini kabisa kila mtu anajua unachojua wewe kuhusu ishu uliyoileta hapa ya diamond. Nyambaff sana. Weka maelezo vizuri sio kila mtu ni mdau wa insta anajua yanayotokea huko.
 
Sasa wewe inakuuma nini? is he your sibling? don't you have recalcitrant kids in your family..? just deal with your umpteen family problems, let him stand solo
Want him ti stand rhythm!
 
Kashavurugwa anastress za kuachwa bado hazijaondoka muache atafute amani ya moyo kuachwa kubaya.
 
unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50

kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadanu mwenzako atibiwe??

unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?

unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??

vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
Kisa kasaidia basi ruksa kufanya ufuska!Wakifanya wasanii wengine,ndani!
 
Sijui jinsia ya mleta uzi ila nimwambie kama mwanaume najua sio rahis kuwa diamond, Hela,umaarufu na umri mdogo vitu vyote vitatu vipo kwa pamoja hakuna msanii kwenye history ya mziko wetu amefikia mafanikio ya Diamond,watu wengi wanamnyooshea kidole ila wangekuwa kwenye position aliyopo Dai labda hata wake zetu wasingekuwa salama, mademu wanajileta tena vyombo haswa ni khanisi tu ndio ataweza kushinda hivyo vishawishi ni rahisi kusema sababu hauna hiyo status....dai anakila kitu cha kumfanya afanye anayoyafanya lakin mkiangalia mapungufu yake mseme na mazuri yake.!
 
Back
Top Bottom