Walimwengu ndio wananishinda hapa..
Yaani wakati wa kusaka hela kila mtu anakukatisha tamaa na kukusema kwa kejeli lakini acha uushike mkwanja..
Ukipata mkwanja kila mtu anajifanya anajua kukushauri uzitumiaje pesa Zako..
Ushauri tu kwa mtoa maada : fanya upambane uupate ustaa na pesa kama mondi then uanze kuishi hayo maisha unayomshauri ayaishi
Kunguni kama wewe kutwa nzima uko mitandaoni kuwasema watu waliohustle kupata huo umaarufu hadi wewe kenge ukawafollow unapata wapi moral authority ya kumsema mondi...Hiv umeenda shule kweli wewe ? Aliyekwambia tunaongelea mambo ya pesa nani hapa, yani we mpuuzi wa mwisho , tahira mkubwa
umaskini unakusumbua mkuuBabuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
Wewe vikalio vyako umeviosha?Mbweha wewe wakat na andika nilikwambia, ebu kaoshe vikalio vyako uko
Vip mbona una hasira sana !! au una mimba changaHiv umeenda shule kweli wewe ? Aliyekwambia tunaongelea mambo ya pesa nani hapa, yani we mpuuzi wa mwisho , tahira mkubwa
unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50
kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadamu mwenzako atibiwe??
unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?
unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??
vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
Hii ni dunia nzima msanii na mwanasiasa neno kimya kimya halipo kabisaaHivi alishindwaje kumpeleka kimya kimya uyo mtu huko india Mpaka nchi nzima ijue?
Izo bima kashindwaje kugawa kimya kimya mpaka kila mtu ajue?
Bongo KIKI ndio mfumo wa maisha ya watu.
Unadhihilisha utanzania wako, majungu, chuki na fitina. Hii nchi ina maadui wa 3 tu kwa sasa, nao ni Chuki, Majungu na Fitina.Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .
Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na Serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
Hii ni dunia nzima msanii na mwanasiasa neno kimya kimya halipo kabisaa
Ni kweli kwa nature ya maisha yao ni umaarufu kwanzaMkuu msaada wa kweli hutolewa kimya kimya, ukiona mazingira hayo ujue hakuna msaada hapo watu wanayao wanayoyatafuta.
HUU NI UMAMA WALAHIMwenzake Davido kapost Hivyo japo[emoji652] [emoji652] View attachment 898401
Ni kweli ila kila mtu na bajeti zake, hiki wabongo ni wagumu kuelewaWatu walikua wanamlalamikia sana diamond kuwa hamsaidii hawa , naona ndo akaamua kutangaza, Ila baada ya vichambo, maana hawa alianza kuugua kitambo tu