Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Walimwengu ndio wananishinda hapa..
Yaani wakati wa kusaka hela kila mtu anakukatisha tamaa na kukusema kwa kejeli lakini acha uushike mkwanja..

Ukipata mkwanja kila mtu anajifanya anajua kukushauri uzitumiaje pesa Zako..

Ushauri tu kwa mtoa maada : fanya upambane uupate ustaa na pesa kama mondi then uanze kuishi hayo maisha unayomshauri ayaishi

Hiv umeenda shule kweli wewe ? Aliyekwambia tunaongelea mambo ya pesa nani hapa, yani we mpuuzi wa mwisho , tahira mkubwa
 
Hiv umeenda shule kweli wewe ? Aliyekwambia tunaongelea mambo ya pesa nani hapa, yani we mpuuzi wa mwisho , tahira mkubwa
Kunguni kama wewe kutwa nzima uko mitandaoni kuwasema watu waliohustle kupata huo umaarufu hadi wewe kenge ukawafollow unapata wapi moral authority ya kumsema mondi...

Kama hukubali pigo zake muunfollow uone kama utaona kinachoendelea ...kitendo cha kumfollow na wewe ni tahira mwingine tu usiye na mbele wala nyuma uliyekosa kazi
 
Babuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
umaskini unakusumbua mkuu
 
Mambo mengi ya kwenye mitandao sio ya kuyachukulia serious maana vijana wa sasa tofauti na wa zamani ambao hizo issue wanazo-post watu walikuwa wanaonyeshana ana kwa ana (wana tambiana huku wanaonana) but siku hizi wanatambiana kwenye mitandao tu muda wa kuonana unakuwa kama haupo (yaani kama vile mnavyo-post RIP kwa msiba badala ya kuhudhuria msibani)
 
unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50

kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadamu mwenzako atibiwe??

unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?

unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??

vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki

Hivi alishindwaje kumpeleka kimya kimya uyo mtu huko india Mpaka nchi nzima ijue?
Izo bima kashindwaje kugawa kimya kimya mpaka kila mtu ajue?

Bongo KIKI ndio mfumo wa maisha ya watu.
 
Hivi alishindwaje kumpeleka kimya kimya uyo mtu huko india Mpaka nchi nzima ijue?
Izo bima kashindwaje kugawa kimya kimya mpaka kila mtu ajue?

Bongo KIKI ndio mfumo wa maisha ya watu.
Hii ni dunia nzima msanii na mwanasiasa neno kimya kimya halipo kabisaa
 
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .

Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na Serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
Unadhihilisha utanzania wako, majungu, chuki na fitina. Hii nchi ina maadui wa 3 tu kwa sasa, nao ni Chuki, Majungu na Fitina.
 
Hivi alishindwaje kumpeleka kimya kimya uyo mtu huko india Mpaka nchi nzima ijue?
Izo bima kashindwaje kugawa kimya kimya mpaka kila mtu ajue?

Bongo KIKI ndio mfumo wa maisha ya watu.

Aaaaah aah
 
Unadhihilisha utanzania wako, majungu, chuki na fitina. Hii nchi ina maadui wa 3 tu kwa sasa, nao ni Chuki, Majungu na Fitina.

Wewe usiyependa majungu huku umefuata nini?
 
Watu walikua wanamlalamikia sana diamond kuwa hamsaidii hawa , naona ndo akaamua kutangaza, Ila baada ya vichambo, maana hawa alianza kuugua kitambo tu
Ni kweli ila kila mtu na bajeti zake, hiki wabongo ni wagumu kuelewa
 
Kwani kuna nini wafuatiliaji wa hayo mambo na jamaa yenu?, sisi wengine hatuelewi kitu hapa maana huko hatupo, hebu tutoeni tongotongo amefanyaje huyo bwana? nasi tujue tupate la kuchangia
 
Back
Top Bottom