Sidhani umewahi kuwasikia Michael Jackson,Whitney Houston hata Marijani RajabuHakuna msanii asitoe nyimbo mwaka mzima halaf awe tu anasikika haiwezekani. Na hata ikiwezekana basi mtu huyo atakuwa diamond kwanini kwa sababu ana fan base kubwa na ana mauzo makubwa. Naamini diamond hata asipotoa nyimbo mwaka mzima bado atauongoza mauzo katika mwaka huo aliokaa kimya kwa kuuza nyimbo zake za zamani
Best Comment Ever!wewe unaenda kazini kila siku ila mondi kutoa muziki kila .mwezi unakunja
Tatizo unafikiri kila kila mtu ana timu.Jitekenyeni tu alafu muendelee kucheka....
Kwani kazi yake hapa duniani ni nini?...hivi umaskini na roho mbaya ni lini vitatengana!?Kama ilivyo kwa baadhi ya wanamuziki ambao wanaweza kutoa wimbo na baadae kukaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo zingine na bado hizo walizotoa zikaendelea kuwaweka kwenye ulimwengu Wa muziki wasisahaulike, je kwa aina ya Muziki na quality ya vibao vinavyotolewa na Diamond, anaweza kutoa kibao na kukaa mwaka mzima bila kutoa wimbo mwingine na bado nyimbo hizo alizotoa before zikaendelea kumwakilisha vyema na kumfanya asisahaulike kwenye gemu?
Wapi nilipotaja teamTatizo unafikiri kila kila mtu ana timu.
Mauzo makubwa yapi? Ni vizuri ukitupa ufafanuzi wa kinaHakuna msanii asitoe nyimbo mwaka mzima halaf awe tu anasikika haiwezekani. Na hata ikiwezekana basi mtu huyo atakuwa diamond kwanini kwa sababu ana fan base kubwa na ana mauzo makubwa. Naamini diamond hata asipotoa nyimbo mwaka mzima bado atauongoza mauzo katika mwaka huo aliokaa kimya kwa kuuza nyimbo zake za zamani
Best comment.....mond anafanya mziki biashara hafanyi mziki sifa kama wengneKwani anafanya mziki kushindana au anafanya mziki aingize pesa?
Kama kutoa wimbo kila mwezi kunamwingizia pesa kuliko kutoa wimbo mmoja mwaka mzima atoe tu kila mwezi ikiwezekana hata kila week azivune tu wakati wake bado hajaisha maana muda wake ukipita hata akiimba nini hakuna atakaye sikiliza.
Keep doing what you ought to do platnumZ