Hivi Diamond anaweza kukaa mwaka bila kutoa wimbo harafu asisahaulike kwenye ulimwengu wa muziki?

Hivi Diamond anaweza kukaa mwaka bila kutoa wimbo harafu asisahaulike kwenye ulimwengu wa muziki?

Hakuna msanii asitoe nyimbo mwaka mzima halaf awe tu anasikika haiwezekani. Na hata ikiwezekana basi mtu huyo atakuwa diamond kwanini kwa sababu ana fan base kubwa na ana mauzo makubwa. Naamini diamond hata asipotoa nyimbo mwaka mzima bado atauongoza mauzo katika mwaka huo aliokaa kimya kwa kuuza nyimbo zake za zamani
Sidhani umewahi kuwasikia Michael Jackson,Whitney Houston hata Marijani Rajabu
 
eti ule wimbo alioshirikishwa diamond ambao unapigwa sana kwenye events, anaimba " nasema kwanza zima,........kisha nirudishe mba mba mba" unaitwaje? na ni wa nani?
 
Asipotoa wimbo atakua na skendo na wanawake ili aendeleee kuwa midomon kwa watu
 
Ana Diamond karanga ukipita tu barabarani huko unaiona unaanzaje sasa kumsahau, jina tu unaliona kila njia
 
Kama ilivyo kwa baadhi ya wanamuziki ambao wanaweza kutoa wimbo na baadae kukaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo zingine na bado hizo walizotoa zikaendelea kuwaweka kwenye ulimwengu Wa muziki wasisahaulike, je kwa aina ya Muziki na quality ya vibao vinavyotolewa na Diamond, anaweza kutoa kibao na kukaa mwaka mzima bila kutoa wimbo mwingine na bado nyimbo hizo alizotoa before zikaendelea kumwakilisha vyema na kumfanya asisahaulike kwenye gemu?
Kwani kazi yake hapa duniani ni nini?...hivi umaskini na roho mbaya ni lini vitatengana!?
 
Wewe unaweza kukaa siku 7 bila kula.. Dai ile ni kazi so sio rahs
 
Haya wale wenye uthubutu wamwambie athubutu!. Alafu aone motto..
 
Hio ni kazi anayoendeshea maisha yake, sasa hataishi bila kufanya kazi.

Imeandikwa Hasiyefanya kazi na hasile.
 
Hakuna msanii asitoe nyimbo mwaka mzima halaf awe tu anasikika haiwezekani. Na hata ikiwezekana basi mtu huyo atakuwa diamond kwanini kwa sababu ana fan base kubwa na ana mauzo makubwa. Naamini diamond hata asipotoa nyimbo mwaka mzima bado atauongoza mauzo katika mwaka huo aliokaa kimya kwa kuuza nyimbo zake za zamani
Mauzo makubwa yapi? Ni vizuri ukitupa ufafanuzi wa kina
 
Kwani anafanya mziki kushindana au anafanya mziki aingize pesa?
Kama kutoa wimbo kila mwezi kunamwingizia pesa kuliko kutoa wimbo mmoja mwaka mzima atoe tu kila mwezi ikiwezekana hata kila week azivune tu wakati wake bado hajaisha maana muda wake ukipita hata akiimba nini hakuna atakaye sikiliza.
Keep doing what you ought to do platnumZ
 
Best comment.....mond anafanya mziki biashara hafanyi mziki sifa kama wengne
 
Back
Top Bottom