Hivi Diamond ni lini utaacha ulaghai wa kununua tuzo za huko nje?


Siasa mbaya sana! Inaingia mpaka huku yani madudu ya mvi ndio ya dangote
 

Namgojea nione kabati la kibakuli lina tuzo ngapi
 

Attachments

  • 1442780814179.jpg
    95.9 KB · Views: 154

Mimi nakushauri hiyo roho yako ya korosho itakurudisha nyuma tu kutafuta mabaya kuhusu Diamond, ningekuwa wewe ningeemiza hizi Nguvu za kichawi kumsaidia Ali Kiba kufanya kazi
Watu wana roho za kishetani
Ukiulizwa Diamond alikukosea nini, hunajibu Bali ni wivu yaani mtu kama wewe unalalaje usiku au unasali kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…