mats_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 399
- 299
Habari Wadau..
Moja kwa moja niende kwenye mada...Mimi nimepanga kununua gari either toka japan au apa apa bongo ila iwe used..Najua mnafahamu sifa moja ya gari pindi unaponunua ni mileage (km) gari ilizotembea adi muda ule unapoenda ikagua gari tayari kwa manunuzi.
Kitu kinachonipa hofu watu wengi wananiambia kua nisije nikaamini sana mileage inayosoma katika kioo kwa maana kuna mchezo sikuizi kwa wanaouza ayo magari kuzichezea odometer na kurudisha kilomita zinazosoma nyuma!.
Kwa mfano gari inaeza kua imetembea kilomita laki moja ila muuzaji akarudisha nyuma ikaonekana imetembea kilomita elfu 60
Sasa naomba kujuzwa zaidi kwa wanaofahamu vizuri magari, Hivi digital odometer nazo zinaweza kuchezewa mchezo mchafu ama ni zile analog za kizamani tu ndo zinaweza kuchezewa, na kama digital odometer inaeza kuchezewa kuna dalili gani za kunijulisha kama itakua imefanyiwa mchezo mchafu?
Sent using Jamii Forums mobile app