Umani Wolbachia
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 327
- 311
...digital odometer inaeza kuchezewa tena ni rahisi tu sema kinacho fanyika apo nikwamba inakurazimu uamue kufuta namba moja yani kama ilikuwa inasoma 150000 utoe moja ya kwanza ibaki 50000 au utoe 50000 ibaki 100000 na ndivyo inavyo fanyika kwa apa bongo na iyo michezo wanafanya sana apa bongo kwa japani ukiagiza ili usipigwe lipia inspection ili ili waweke sticker zenye kuonyesha millage na certficate pia watakupa ni dola 300
ukitaka kujua iliyochezewa tafuta fundi aifungue utakuta pini zimekwatwa ndani au zimekunjwa zisisome
kumbe ndo kinachofanyika...hiyo inspection fee lazima ulipe na inafanyikia Japan wanakupa certicate ambayo utaipeleka TBS ila vinginevyo watakusumbua sana kama haitakuwa na hyo cheti..