Hivi "digital odometer reading ya gari" nayo yaweza kuchezewa?

...
kumbe ndo kinachofanyika...hiyo inspection fee lazima ulipe na inafanyikia Japan wanakupa certicate ambayo utaipeleka TBS ila vinginevyo watakusumbua sana kama haitakuwa na hyo cheti..
 
...
kumbe ndo kinachofanyika...hiyo inspection fee lazima ulipe na inafanyikia Japan wanakupa certicate ambayo utaipeleka TBS ila vinginevyo watakusumbua sana kama haitakuwa na hyo cheti..
Inafanyikia japani na ukipata document unaipeleka tbs wana hakiki kama ndio ukiingiza gari ambayo aina iyo cert utapigwa faini ya 30% ya CIF
 
Yes, inawezekana, na ndio maana tunashauri , nunua gari direct from japan kuliko kununua showrooms,
 
Maana ya adjustment inamaana hata 0km unaweza kuwekewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari tizama uzima wa mashibe, unaweza kuta low mileage ikawa jini na ukapata high mileage ukastarehe... ni ushuhulikiaji wa mashine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…