Hivi Dodoma kuna Serikali? Kwanini maelekezo ya LATRA yapuuzwe?

Hivi Dodoma kuna Serikali? Kwanini maelekezo ya LATRA yapuuzwe?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Juzi LATRA wametoa chati za nauli za mabasi ya mikoani na daladala ambazo zilipaswa kuanza tarehe 14/05/2022. Cha kushangaza nauli ya Dodoma mjini kwenda Bahi imepanda na kufikia shilingi 3000. Umbali ambao LATRA wamependekeza nauli ya 1900.

Napenda kujua hivi Serikali ya mkoa wa dodoma inadharau maelekezo ya LATRA?
 
Huo mji usikie tu, Kuna gharama kubwa sana za maisha, nadhani kosa ni kuuita mji mkuu.

Wewe jaribisha hata hizo daladala/bajaji kila mmiliki ana nauli yake. Kamji kana bei za ajabu ajabu tu.
 
Huo mji usikie tu, Kuna gharama kubwa sana za maisha, nadhani kosa ni kuuita mji mkuu.

Wewe jaribisha hata hizo daladala/bajaji kila mmiliki ana nauli yake. Kamji kana bei za ajabu ajabu tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom