sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Dokii ni kama hamnazo kwa kumkichwa....Uke wimbo siwezi angalia hata sekunde moja..
Dokii ni kama hamnazo kwa kumkichwa....Ule wimbo siwezi angalia hata sekunde moja..
Yani mi ananikera kweli... Anavyocheza sasa kama mwehu... Midundo inapiga vingine na miondoko yake inaenda vingine... Upuuzi mtupu
Dokii is a tension seaker et unajua nilikuaga Kenya nikasikia kwa redio, wakenya wako nalalamika ati kwanini obama aji tutembelea Kenya
Anaishi kwa matu-maini.
I think there is different btn me and Dokii. It seems dokii is not well upright there, by the way thank u for Correcting me, i meant DOKII is attention seeker.wewe na yeye mna tofauti gani??? did you mean attention seeker??