Hivi Dokii hukuona makosa ya lugha ya kizungu katika wimbo wako?

Hivi Dokii hukuona makosa ya lugha ya kizungu katika wimbo wako?

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Nimekuwa nikiuona wimbo wa mwanadada maarufu nchini Dokii, ambao kamwimbia Obama. Kama jina la wimbo lilivyo, na mashairi yake, anasema "Obama welcome Tanzania.. Obama welcome Africa" inakuwaje hapo?! Na TBC1 wanarusha tu bila kusanifu.. Duuh! Kaz kwel kwel.
 
Dokii ni kama hamnazo kwa kumkichwa....Ule wimbo siwezi angalia hata sekunde moja..
 
Dokii mjasiriamali, na katokea mulemule, yaani hamna atayeona ona kosa la maneno vina wala shooting as long as she mentioned Obama. One thing ngoja obama aondoke kesho huyo binti atapiga hela ya kutosha (kibongo-bongo)
Kwa sasa hayupo mtu wa kuchunguza wimbo, akili ni OB michelle, na bint 2!! zaidi symbion!!
SP
 
Bwana mpongezeni kajitahidi mwenzenu Tunga wewe bac maana wabongo midomo sana .
 
Yn tbc wanarusha kila dk..me nikiuona tu nabadili chanel
 
Katika uigizaji hayumo tena katika muziki hayupo, anatafuta pa kutokea, si mwanamuziki wala si mcheza sinema! Kuimba mpaka uchaguzi uje au mgeni aje
 
Yani mi ananikera kweli... Anavyocheza sasa kama mwehu... Midundo inapiga vingine na miondoko yake inaenda vingine... Upuuzi mtupu
 
Yani mi ananikera kweli... Anavyocheza sasa kama mwehu... Midundo inapiga vingine na miondoko yake inaenda vingine... Upuuzi mtupu

sema ww nikisema mm nitaambiwa wanawake hatupendani...
 
Dokii is a tension seaker et unajua nilikuaga Kenya nikasikia kwa redio, wakenya wako nalalamika ati kwanini obama aji tutembelea Kenya
 
Yaani anaudh,af shameless,sijui yupoje,yupo tofaut san af anajifanyag hamnazo
 
Dokii is a tension seaker et unajua nilikuaga Kenya nikasikia kwa redio, wakenya wako nalalamika ati kwanini obama aji tutembelea Kenya

wewe na yeye mna tofauti gani??? did you mean attention seeker??
 
Hapo mwenzenu kashapiga noti za kutosha ikulu...anajua kuzichanga za ikulu.alaf it seams pale ikulu kuna mtu anabanjuka nae
 
wewe na yeye mna tofauti gani??? did you mean attention seeker??
I think there is different btn me and Dokii. It seems dokii is not well upright there, by the way thank u for Correcting me, i meant DOKII is attention seeker.
 
Dokii hustler hajui kuimba lkn kapush mpaka katoa video na anahesabu mkwanja tu xa ivi. . .wakina kaptain komba wamezembea tenda acha mwenye akili aingize pesa:-|
 
Back
Top Bottom