Mzee wa 071Dahhh....!!
Naomba nisiseme neno mkuu, maana nitajikuta nimetenda dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa 071Dahhh....!!
Naomba nisiseme neno mkuu, maana nitajikuta nimetenda dhambi
Mkuu, naona unanikosea adabu kwa kunifananisha na dhambi ambayo hata shetani aliiogopa....[emoji45] [emoji45]Mzee wa 071
Sorry bro, ni hii baridi na nipo hapa Horohoro nishatema moghokaa, mawazo yote mabaya yananipitia.Mkuu, naona unanikosea adabu kwa kunifananisha na dhambi ambayo hata shetani aliiogopa....[emoji45] [emoji45]
Usjali mkuu, hiyo mbona inajulikana sana watumiaji wa SHITHOLESorry bro, ni hii baridi na nipo hapa Horohoro nishatema moghokaa, mawazo yote mabaya yananipitia.
nini mkuu....?Asee iyo mbona kama nanii
haionekani ?Picha uliyoitumia sio nzuri kwa sisi mafisi, ila tofauti pekee nya Andazi na Kitumbua ni Unga: wa mahindi na wa ngano....ushuzi wa chapati, donati, pizza, wooote ni ngano. Ngano ni dili ndo maana Baresa kashika hapohapo
Mtandao pendwanini mkuu....?
mtandao ?Mtandao pendwa
Hivi ni marinda au ni rinda mkuu?Hiyo picha imenifanya nimewaza sana
Team walaji wa marinda!Picha uliyoitumia sio nzuri kwa sisi mafisi, ila tofauti pekee nya Andazi na Kitumbua ni Unga: wa mahindi na wa ngano....ushuzi wa chapati, donati, pizza, wooote ni ngano. Ngano ni dili ndo maana Baresa kashika hapohapo
atakuwa amekosea kuzipika kweli ni kama zina marinda kweli.Team walaji wa marinda!
hata ladha pia hazifanani, na bei pia hazifanani.ila mahitaji na ladha zinafanana au ?
kwa kila mtu au kwakoHahahahahaa picha fikirishi sana hii
Donati.Ww umelenga donati kitafunwa au just a symbol ov s,thng else