Hivi E-fm wamefilisika??? Au wameamua tu kubadili mikakati na mipango kazi???

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
103
Reaction score
209
Kwanza Sina Shaka Na Uwezo wa kiakili na kiubunifu Wa CEO Wa EFM Majizzo Jamaa ni Kichwa",

Mikakati Na Mipango Kazi wake Wa Mwanzo Ulileta Mapinduzi Makubwa Kwenye MEDIA INDUSTRY Hasa Ile ya Kuipeleka Radio Uswahili(Singeli) Na Kuanzisha Kipindi Cha Michezo Na Vinginevyo Asubuhi Jamaa Alikua Game Changer".

Kwasasa EFM Ni Miongoni Mwa Top 3 Media zinazofanya vizuri Nchini",

Ila Changamoto kwa Kipindi Cha miezi ya karibuni Ni Availability ya Efm kwa Frequency za kawaida imekua Haipo (kwa Mwanza Toka Mwaka jana mwezi wa 12) sjajua kwa mikoa mingine?
Imekua Inapatikana kwa Internet Tu (radios Na YouTube)",

Je EFM Running Cost ya Kuendelea ku Maintain Masafa ya kawaida Imekata?? Au Tu Wameamua kuibadili kuwa Internet Radio??
 
Mwanzo wa bar kufilisika inaanza hivi
Bar mara ya kwanza inakuwa habari ya mjini.
ya pili inaanza kupunguza vitu jikoni ukitaka makange ya kuku hakuna.

ya tatu aina ya vinywaji vinaanza kupungua na kubakisha vile vinavyo kwenda tena kwa kusua sua.

ya nne unaona wahudumu wale wazuri wameanza kupotea kwenye bar na wanabaki madunga yembe.

Ya tano bar inabadilisha jiko linaanza kuuza kitimoto .

Ya sita bar imeshindikana inafungwa na kuwa ukumbi wa kufanyia sherehee.

Ya saba walokole wanalichukua eneo linakuwa kanisa.

EFM wapo ya tatu
 
Daah Sema waongeze Hisa Watafute Wawekezaji, Hawawezi kukukosa.
 
Mwamposa yupo mbioni kununua efm
Mwanzo wa bar kufilisika inaanza hivi
Bar mara ya kwanza inakuwa habari ya mjini.
ya pili inaanza kupunguza vitu jikoni ukitaka makange ya kuku hakuna.

ya tatu aina ya vinywaji vinaanza kupungua na kubakisha vile vinavyo kwenda tena kwa kusua sua.

ya nne unaona wahudumu wale wazuri wameanza kupotea kwenye bar na wanabaki madunga yembe.

Ya tano bar inabadilisha jiko linaanza kuuza kitimoto .

Ya sita bar imeshindikana inafungwa na kuwa ukumbi wa kufanyia sherehee.

Ya saba walokole wanalichukua eneo linakuwa kanisa.

BASI EFM wapo ya saba.
 
Hata watangazaji waliopo pale sahizi ni kituko
Mwanzo wa bar kufilisika inaanza hivi
Bar mara ya kwanza inakuwa habari ya mjini.
ya pili inaanza kupunguza vitu jikoni ukitaka makange ya kuku hakuna.

ya tatu aina ya vinywaji vinaanza kupungua na kubakisha vile vinavyo kwenda tena kwa kusua sua.

ya nne unaona wahudumu wale wazuri wameanza kupotea kwenye bar na wanabaki madunga yembe.

Ya tano bar inabadilisha jiko linaanza kuuza kitimoto .

Ya sita bar imeshindikana inafungwa na kuwa ukumbi wa kufanyia sherehee.

Ya saba walokole wanalichukua eneo linakuwa kanisa.

Basi EFM wapo ya nne
 
Back
Top Bottom