Kwanza Sina Shaka Na Uwezo wa kiakili na kiubunifu Wa CEO Wa EFM Majizzo Jamaa ni Kichwa",
Mikakati Na Mipango Kazi wake Wa Mwanzo Ulileta Mapinduzi Makubwa Kwenye MEDIA INDUSTRY Hasa Ile ya Kuipeleka Radio Uswahili(Singeli) Na Kuanzisha Kipindi Cha Michezo Na Vinginevyo Asubuhi Jamaa Alikua Game Changer".
Kwasasa EFM Ni Miongoni Mwa Top 3 Media zinazofanya vizuri Nchini",
Ila Changamoto kwa Kipindi Cha miezi ya karibuni Ni Availability ya Efm kwa Frequency za kawaida imekua Haipo (kwa Mwanza Toka Mwaka jana mwezi wa 12) sjajua kwa mikoa mingine?
Imekua Inapatikana kwa Internet Tu (radios Na YouTube)",
Je EFM Running Cost ya Kuendelea ku Maintain Masafa ya kawaida Imekata?? Au Tu Wameamua kuibadili kuwa Internet Radio??