Hivi E-fm wamefilisika??? Au wameamua tu kubadili mikakati na mipango kazi???

Kuendesha tv au redio sio mchezo sababu mapato yao wanategemea matangazo.
Mbali Na Matangazo Sikuhizi Radio Nyingi Wana Kamali zao,Kama Product ya ziada Na chanzo Cha mapato ndio kinachoziokoa media zingine
 
Hata hapa mbeya 103.3 haishiki, hadi nitumie radio box ndo niwapate.vipindi vya michezo asubuhi na jioni,Jioni ya leo,pamoja na genge, ndo huwa naskiliza
 
Hata hapa mbeya 103.3 haishiki, hadi nitumie radio box ndo niwapate.vipindi vya michezo asubuhi na jioni,Jioni ya leo,pamoja na genge, ndo huwa naskiliza
Basi Mtaji wa kusambaza Masafa mikoani utakua umekata
 
Dah sijui imekawaje, kuna mtu alishaletaga uzi kwamba itanunuliwa nayo. Front kapelekwa mchungaji lakini naamini mmiliki ni mwanasiasa.

Vyovyote vile itakavyokuwa ila jamaa alionesha uthubutu, nampongeza kwa hilo.
 
Ukioa slayqueen kufilisika nje nje
 
Kisa kinaendana na SISIMIZI BAR Ubungo mbele ya TBS Sam Nujoma Road😀
 
Hapa Mbagala Kuu ndio Kabisa haishiki. Labda Nisogee Kibonde maji huko au maji matitu, ila kwa mparange na kwa mama kibonge wao ni chenga tu ni sawa na kipati
 
Sio EFM tu, huku Sumbawanga radio Clouds, Wasafi zimeacha kupatikana tangia mwishini mwa mwaka Jana.

Hali ni mbaya kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…