PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohoooo!!!kumbe ndio kawaida yao.Mkuu hiyo tv inapata umaarufu kwa habari kama hizo za wakaa uchi
Sawa.Wewe pia ulichokifanya hakina tofauti na hao EATV ungeacha ulichokiona huko huko kwenye tv, sidhani kama wengi walikaa kuangalia hicho kipindi, ila kwa kuleta hapa imefanya wengi kumtambua huyu 'mkaa uchi' ni nani na pengine wafanye kumtafuta, so umezidi kumpa millage.
Ha ha ha !Zoom hiyo picha ya pili,ana magonjwa sugu mapajan hadi kwenye nanilii. Huyu binti anajidhalilisha sana kisa kutafuta umaarufu
Kuna ile picha anachorwa tattoo ya tako aisee
Ha ha ha !
Numbisa bhana! Magonjwa sugu yapi??
hapana..inaonyesha aliungua..ndo kovu limebakiFungus,ana upele mkubwa mkubwa hadi tumboni hapo
Amechoka sana.Watafute mabinti ambao hawajatumika sanaHivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku chache zilizopita sura hiyo hiyo nimeiona EATV ikifanyiwa kipindi Je nikwamba hawa EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao kipindi hadi kumpa nafasi mkaa uchi?
Picha hapo chini ni binti huyo akiwa kwenye kipindi EATV[emoji116]
Na picha hii ni moja ya picha za huyo binti ambayo kidogo inaweza kutazamika maana zingine ziko vibaya siwezi kuziweka hapa[emoji116]
-Ndumilakuwili-