Hivi EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao vipindi hadi kufanya na huyu mkaa uchi????

Hivi EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao vipindi hadi kufanya na huyu mkaa uchi????

Ila inaonekana hana aibu kaupania sana umaarufu. Kuna picha kasambaza anachorwa tattoo ya kwenye kalio.
Yaan umaarufu huu, mtu yuko radhi kufa na tai shingoni ili mradi tu awe maarufu. Kwangu mm naona anajiaibisha tu.
 
Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku chache zilizopita sura hiyo hiyo nimeiona EATV ikifanyiwa kipindi Je nikwamba hawa EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao kipindi hadi kumpa nafasi mkaa uchi?


Picha hapo chini ni binti huyo akiwa kwenye kipindi EATV[emoji116]
1528a70811ff47cfb921c0ed389f74dd.jpg


Na picha hii ni moja ya picha za huyo binti ambayo kidogo inaweza kutazamika maana zingine ziko vibaya siwezi kuziweka hapa[emoji116]
9931750a5f96796aff17298af86d0f13.jpg


-Ndumilakuwili-
Mbona huyu dada mwenyewe anatisha namna hii!!
 
Back
Top Bottom