Chitolaki Napwachi
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 122
- 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan umaarufu huu, mtu yuko radhi kufa na tai shingoni ili mradi tu awe maarufu. Kwangu mm naona anajiaibisha tu.
Mbona huyu dada mwenyewe anatisha namna hii!!Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku chache zilizopita sura hiyo hiyo nimeiona EATV ikifanyiwa kipindi Je nikwamba hawa EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao kipindi hadi kumpa nafasi mkaa uchi?
Picha hapo chini ni binti huyo akiwa kwenye kipindi EATV[emoji116]![]()
Na picha hii ni moja ya picha za huyo binti ambayo kidogo inaweza kutazamika maana zingine ziko vibaya siwezi kuziweka hapa[emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-