Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Babu kijana
We figa yako ikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We figa yako ikoje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hmm....mbona kama anatisha,au ni ushamba wangu!
Apo tumboni vipi alijifungua tatoo au tatoo mbona anatia kinyaaHivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku chache zilizopita sura hiyo hiyo nimeiona EATV ikifanyiwa kipindi Je nikwamba hawa EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao kipindi hadi kumpa nafasi mkaa uchi?
Picha hapo chini ni binti huyo akiwa kwenye kipindi EATV[emoji116]![]()
Na picha hii ni moja ya picha za huyo binti ambayo kidogo inaweza kutazamika maana zingine ziko vibaya siwezi kuziweka [emoji116]![]()
-Ndumilakuwili-
Unanishushia heshima yanguBabu kijana
Mkuu sio kwamba yeye anakipindi bali alifanya kuitwa kufanyiwa kipindi wiki iliyopita.
Unanishushia heshima yangu
Hata hivyo mi ni mhenga na najisifia kuwa mhenga. Uhenga wangu umeniondoa kwenye list ya wanaume wa Dar...Ungejua baasi nakuongezea heshima wala usingelalamika. Zamani mlikua mnaitwa baby,ila saiv hawa warembo wakisikia unaiywa babu hawachelewi kukubatiza jina la mhenga
Angalia vizuri kitovu chake mkuu. Huyo siyo binti ni MHENGAZoom hiyo picha ya pili,ana magonjwa sugu mapajan hadi kwenye nanilii. Huyu binti anajidhalilisha sana kisa kutafuta umaarufu
Kuna ile picha anachorwa tattoo ya tako aisee
Hata hivyo mi ni mhenga na najisifia kuwa mhenga. Uhenga wangu umeniondoa kwenye list ya wanaume wa Dar...
Hadi anatia kinyaaFungus,ana upele mkubwa mkubwa hadi tumboni hapo
Mbona hadi anatia kinyaa, hiyo ngozi yake hapo tumboni loh! Hata km aliwahi kuzaa sio hivyo. Mm pia nimezaa lkn tumbo langu liko fresh tu yaan no mchirizi no kutepeta.
Yaan umaarufu huu, mtu yuko radhi kufa na tai shingoni ili mradi tu awe maarufu. Kwangu mm naona anajiaibisha tu.Congrats, tatizo hajijali haoni thamani ya mwili wake ndo maana kawa hivyo. Angeujali tumbo lingekaa vizuri