Hivi electoral college maana yake nini?

Hivi electoral college maana yake nini?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1000073343.jpg

Nini maana ya electoral college? Uchaguzi wa USA upo kidogo tofauti. Wingi wa kura kuna muda hautoi ushindi kwa mgombea.

Mfano ni Hillary Clinton alipata kura nyingi kuliko Trump, lakini Trump akashinda uchaguzi wa uraisi.

Hiki kitu sijakielewa kwa undani kuhusu point 270 Anazopewa mgombea ili awe mshindi wa uraisi.

Mwenye uelewa mpana wa hiki kitu t afadhali atufafanulie kuliko kusikia maneno ya mtaani
 
Marekani wana kura za aina mbili kumchagua Rais, popular vote na electoral votes. Lakini kushinda urais lazima ushinde kwa kura za electoral college.

Popular vote ni kura za wananchi wote katika jimbo, hizo ndizo zinaamua unapata electoral votes ngapi. Majimbo karibia yote utaratibu ni kwamba mshindi wa kura za wananchi katika jimbo anapewa kura zote za Electoral college za jimbo.

Electoral votes zinagawanya katika majimbo kulingana na idadi sawia ya viti vya ubunge katika jimbo kila mwaka wa uchaguzi. Balaa linakuja Hillary Clinton kashinda jimbo la California kwa gepu la kura million 4 akapata electoral votes 55, Halafu Trump kushinda Texas kwa kura laki nane tu kazoa electoral votes zote 40, kashinda Florida kwa kura laki moja kazoa electoral votes 30.
 
Marekani wana kura za aina mbili kumchagua Rais, popular vote na electoral votes.
Popular vote ni kura za wananchi wote katika jimbo, hizo ndizo zinaamua unapata electoral votes ngapi. Majimbo karibia yote utaratibu ni kwamba mshindi wa kura za wananchi katika jimbo anapewa kura zote za Electoral college za jimbo
Toa maelezo vyema
Marekani hakuna kupiga kura kuna ujanja ujanja tu
Wajanja wa electro ndio wanaamua nani awe rahisi wananchi wanaenda kupoteza muda tuuu
 
Mkuu kifupi simple tu Kila Jimbo Lina asilimia zake,marekani ni muungano wa majimbo,mfano kwa tz kungekua na majimbo rais lazima angetoka Kanda ya ziwa kwenye idadi kubwa ya wapiga kura,hii inamaanisha URAIS wa tz ungeamuliwa na ukanda wa ziwa,sasa ili kutoa huu upumbavu Kila Jimbo Lina asilimia zake haijalishi umeshinda kwa idadi ya wapiga kura kiasi gani
 
Idadi ya electoral votes kwa kila jimbo kigezo chake nini? In other words; kwanini baadhi ya majimbo yawe nazo nyingi na mengine yawe na chache?
 
Ndugu yangu jambo usilolijua si bora ukae kimya tu kuliko kutuonesha na sisi kuwa wewe ni mjinga kwenye hili?
Mie mjinga ila sijakuzidi wewe na raia wamarekani wanaochagua rais watu zaidi ya 300M

Ila wajinga 500s ndio wanaamua nani awe rahisi
 
Mkuu kifupi simple tu Kila Jimbo Lina asilimia zake,marekani ni muungano wa majimbo,mfano kwa tz kungekua na majimbo rais lazima angetoka Kanda ya ziwa kwenye idadi kubwa ya wapiga kura,hii inamaanisha URAIS wa tz ungeamuliwa na ukanda wa ziwa,sasa ili kutoa huu upumbavu Kila Jimbo Lina asilimia zake haijalishi umeshinda kwa idadi ya wapiga kura kiasi gani
Huu ndio udikteta uliotamalaki huko marekani
 
Marekani wana kura za aina mbili kumchagua Rais, popular vote na electoral votes. Lakini kushinda urais lazima ushinde kwa kura za electoral college.

Popular vote ni kura za wananchi wote katika jimbo, hizo ndizo zinaamua unapata electoral votes ngapi. Majimbo karibia yote utaratibu ni kwamba mshindi wa kura za wananchi katika jimbo anapewa kura zote za Electoral college za jimbo.

Electoral votes zinagawanya katika majimbo kulingana na idadi sawia ya viti vya ubunge katika jimbo kila mwaka wa uchaguzi. Balaa linakuja Hillary Clinton kashinda jimbo la California kwa gepu la kura million 4 akapata electoral votes 55, Halafu Trump kushinda Texas kwa kura laki nane tu kazoa electoral votes zote 40, kashinda Florida kwa kura laki moja kazoa electoral votes 30.
Comfusing
 
Mie mjinga ila sijakuzidi wewe na raia wamarekani wanaochagua rais watu zaidi ya 300M
Ila wajinga 500s ndio wanaamua nani awe rahisi
Usikomae kubisha kama Muha. Uliza ueleweshwe maana popular votes, electoral college, nk. Ukieleweshwa utaelewa. Usifikiri Wamarekani woooooote wawe wajinga kwa miaka zaidi ya 200 halafu eti wewe ndio unajuuuuua kuliko Wamarekani wote! Ahahahahaha!!!
 
Idadi ya electoral votes kwa kila jimbo kigezo chake nini? In other words; kwanini baadhi ya majimbo yawe nazo nyingi na mengine yawe na chache?
Ukipata idadi ya House of Representatives Representation ya state, basi hiyo ndiyo namba ya electoral college ya hiyo state
 
Back
Top Bottom