Mfano wa Marekani tunaweza kutolea kwenye case ndogo ya Zanzibar.
Zanzibar ukitoa emergency ya Rais kufa hatuwezi kutoa Rais sababu hawezi kupata Kura za kutosha Zanzibar, mfano Chadema wao huwa hawafocus kabisa na Zanzibar wanasema Zanzibar yote inakura sawa na Jimbo la Kinondoni au Ubungo because of that Zanzibar aina Sauti kwenye Siasa za muungano.
Now imagine nchi zaidi ya 50 zenye Watu na uchumi tofauti ziwe zinapiga Kura kuchagua nani awe Rais, wagombea watafocus majimbo makubwa na community kubwa (hili Lina athiri Uingereza kwa sasa kuna Neighborhood zina Wahindi wengi sana kuliko Native, na mtu mwenye Asili ya kihindi ndio defacto winner)
Hili kuondoa hii Bias Marekani walibuni mfumo ambayo kila Jimbo kuwa na equal voice so wagombea wanatoa uzito sawa kwenye kila Jimbo