Toa maelezo vyemaMarekani wana kura za aina mbili kumchagua Rais, popular vote na electoral votes.
Popular vote ni kura za wananchi wote katika jimbo, hizo ndizo zinaamua unapata electoral votes ngapi. Majimbo karibia yote utaratibu ni kwamba mshindi wa kura za wananchi katika jimbo anapewa kura zote za Electoral college za jimbo
Kikwazo lugha mkuu
Bwana utamu bichwa yako imeathirika na effects zakichezea dushe matokeo yake kitu kidogo tu kinakuumiza akiliToa maelezo vyema
Marekani hakuna kupiga kura kuna ujanja ujanja tu
Wajanja wa electro ndio wanaamua nani awe rahisi wananchi wanaenda kupoteza muda tuuu
Sasa wewe uliye google ukaelewa si utoe maelezo?Kwa nini usigoogle mkuu? Huko utapata maelezo yaliyonyooka
Sasa wewe uliye google ukaelewa si utoe maelezo?
Sijauliza hilo swali nimempa tu wazo
Ndugu yangu jambo usilolijua si bora ukae kimya tu kuliko kutuonesha na sisi kuwa wewe ni mjinga kwenye hili?Toa maelezo vyema
Marekani hakuna kupiga kura kuna ujanja ujanja tu
Wajanja wa electro ndio wanaamua nani awe rahisi wananchi wanaenda kupoteza muda tuuu
Idadi ya electoral votes kwa kila jimbo kigezo chake nini? In other words; kwanini baadhi ya majimbo yawe nazo nyingi na mengine yawe na chache?Mkuu kifupi simple tu Kila Jimbo Lina asilimia zake,marekani ni muungano wa majimbo,mfano kwa tz kungekua na majimbo rais lazima angetoka Kanda ya ziwa kwenye idadi kubwa ya wapiga kura,hii inamaanisha URAIS wa tz ungeamuliwa na ukanda wa ziwa,sasa ili kutoa huu upumbavu Kila Jimbo Lina asilimia zake haijalishi umeshinda kwa idadi ya wapiga kura kiasi gani
Mie mjinga ila sijakuzidi wewe na raia wamarekani wanaochagua rais watu zaidi ya 300MNdugu yangu jambo usilolijua si bora ukae kimya tu kuliko kutuonesha na sisi kuwa wewe ni mjinga kwenye hili?
Huu ndio udikteta uliotamalaki huko marekaniMkuu kifupi simple tu Kila Jimbo Lina asilimia zake,marekani ni muungano wa majimbo,mfano kwa tz kungekua na majimbo rais lazima angetoka Kanda ya ziwa kwenye idadi kubwa ya wapiga kura,hii inamaanisha URAIS wa tz ungeamuliwa na ukanda wa ziwa,sasa ili kutoa huu upumbavu Kila Jimbo Lina asilimia zake haijalishi umeshinda kwa idadi ya wapiga kura kiasi gani
ComfusingMarekani wana kura za aina mbili kumchagua Rais, popular vote na electoral votes. Lakini kushinda urais lazima ushinde kwa kura za electoral college.
Popular vote ni kura za wananchi wote katika jimbo, hizo ndizo zinaamua unapata electoral votes ngapi. Majimbo karibia yote utaratibu ni kwamba mshindi wa kura za wananchi katika jimbo anapewa kura zote za Electoral college za jimbo.
Electoral votes zinagawanya katika majimbo kulingana na idadi sawia ya viti vya ubunge katika jimbo kila mwaka wa uchaguzi. Balaa linakuja Hillary Clinton kashinda jimbo la California kwa gepu la kura million 4 akapata electoral votes 55, Halafu Trump kushinda Texas kwa kura laki nane tu kazoa electoral votes zote 40, kashinda Florida kwa kura laki moja kazoa electoral votes 30.
Usikomae kubisha kama Muha. Uliza ueleweshwe maana popular votes, electoral college, nk. Ukieleweshwa utaelewa. Usifikiri Wamarekani woooooote wawe wajinga kwa miaka zaidi ya 200 halafu eti wewe ndio unajuuuuua kuliko Wamarekani wote! Ahahahahaha!!!Mie mjinga ila sijakuzidi wewe na raia wamarekani wanaochagua rais watu zaidi ya 300M
Ila wajinga 500s ndio wanaamua nani awe rahisi
Ukipata idadi ya House of Representatives Representation ya state, basi hiyo ndiyo namba ya electoral college ya hiyo stateIdadi ya electoral votes kwa kila jimbo kigezo chake nini? In other words; kwanini baadhi ya majimbo yawe nazo nyingi na mengine yawe na chache?