Hiyo idadi ya representatives ni kila jimbo hujiamulia au kuna vigezo? Hicho ndicho nachouliza.Ukipata idadi ya House of Representatives Representation ya state, basi hiyo ndiyo namba ya electoral college ya hiyo state
Population, na kwa US Wyoming ndiyo Jimbo ambalo ni less populated na hivyo lina muwakilishi mmoja tuHiyo idadi ya representatives ni kila jimbo hujiamulia au kuna vigezo? Hicho ndicho nachouliza.
Thanks. Hii inasaidia vipi majimbo yenye population kubwa kutoamua mshindi? Maana ndio point ya niliyem-quote mwanzoni akitoa mfano wa Kanda ya Ziwa kwa Tanzania.Population, na kwa US Wyoming ndiyo Jimbo ambalo ni less populated na hivyo lina muwakilishi mmoja tu
Huelewi vizuri. Wale wajumbe hupiga kura kulingana na electoral vote za majimbo.Marekani na ulaya wameweka mfumo unaohakikisha Viongozi wakuu wanaochagiliwa na wale wanaoendana na matakwa ya watawala
Electrol college Kwa Marekani Kwa lugha nyepesi ni Baraza la uchaguzi ambalo kimsingi ni Baraza la Wajumbe ambayo ndiyo huamua nani awe Rais wa Marekani
Wamarekani kupitia popular vote huwa wanatoa tu maoni ya nani wanaona anafaa kuwa Rais lakini wale wajumbe wao huamua nani awe Rais
Kiufupi ni mfumo usio wa kidemokrasia japo unatumika na unakubalika nchini humo
Ndugu yangu jambo usilolijua si bora ukae kimya tu kuliko kutuonesha na sisi kuwa wewe ni mjinga kwenye hili?
Mfano wa Marekani tunaweza kutolea kwenye case ndogo ya Zanzibar.Thanks. Hii inasaidia vipi majimbo yenye population kubwa kutoamua mshindi? Maana ndio point ya niliyem-quote mwanzoni akitoa mfano wa Kanda ya Ziwa kwa Tanzania.
Kwa hiyo uchaguzi wa Marekani baada ya popular votes kuna wajumbe wanakuja kuitisha vikao kumchagua rais? Mnatuchanganya sasa.Marekani na ulaya wameweka mfumo unaohakikisha Viongozi wakuu wanaochagiliwa na wale wanaoendana na matakwa ya watawala
Electrol college Kwa Marekani Kwa lugha nyepesi ni Baraza la uchaguzi ambalo kimsingi ni Baraza la Wajumbe ambayo ndiyo huamua nani awe Rais wa Marekani
Wamarekani kupitia popular vote huwa wanatoa tu maoni ya nani wanaona anafaa kuwa Rais lakini wale wajumbe wao huamua nani awe Rais
Kiufupi ni mfumo usio wa kidemokrasia japo unatumika na unakubalika nchini humo
Shukran kwa ufafanuzi japo bado. Tungekuwa na utaratibu wa electoral college ingeisaidia vipi Zanzibar? Maana kwa uchache wao still wangekuwa na electoral votes chache pengine moja tu! Still isingewashawishi Chadema ku-focus huko.Mfano wa Marekani tunaweza kutolea kwenye case ndogo ya Zanzibar.
Zanzibar ukitoa emergency ya Rais kufa hatuwezi kutoa Rais sababu hawezi kupata Kura za kutosha Zanzibar, mfano Chadema wao huwa hawafocus kabisa na Zanzibar wanasema Zanzibar yote inakura sawa na Jimbo la Kinondoni au Ubungo because of that Zanzibar aina Sauti kwenye Siasa za muungano.
Now imagine nchi zaidi ya 50 zenye Watu na uchumi tofauti ziwe zinapiga Kura kuchagua nani awe Rais, wagombea watafocus majimbo makubwa na community kubwa (hili Lina athiri Uingereza kwa sasa kuna Neighborhood zina Wahindi wengi sana kuliko Native, na mtu mwenye Asili ya kihindi ndio defacto winner)
Hili kuondoa hii Bias Marekani walibuni mfumo ambayo kila Jimbo kuwa na equal voice so wagombea wanatoa uzito sawa kwenye kila Jimbo
Ushindani huwa unahamishiwa kwenye majimbo hayo, maana miongoni mwa voters kunakuwepo pia na undecided voters, ingawa kuna majimbo yenyewe huwa ni kama brand ya vyama fulaniThanks. Hii inasaidia vipi majimbo yenye population kubwa kutoamua mshindi? Maana ndio point ya niliyem-quote mwanzoni akitoa mfano wa Kanda ya Ziwa kwa Tanzania.
Wakiamua kwenda kinyume,sheria huwabana?Huelewi vizuri. Wale wajumbe hupiga kura kulingana na electoral vote za majimbo.
Sawa Bwana Utamu, ngoja nikutafutie wateja hapa Michigan, waje wakubandueUnadhani kila mtu LGBTQ+ kama wewe dogo
Ona koment yako imechafua hali ya hewa huku
Marekani hakuna demokrasia acheni janja janja
Wewe umepata mabwana wangapi naona umeamua kuwafata huko huko hongeraSawa Bwana Utamu, ngoja nikutafutie wateja hapa Michigan, waje wakubandue