Hivi elfu 50 za kulipia tcu na nacte....kwa walioomba chuo ivi mtu akikosa chuo zinarudishwa chake

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
jamani leo kuna ndugu yangu nimemlipia elfu hamsini kwa ajili ya kusoma degree mwaka huu...kupitia mtandao wa nacte kwa equivalent

kwa maisha ya sasa elfu hamsini ni ndefuu sana....si mchezo ivi ikitokea kweli mtu amekosaa chuo hivi hawa jamaa huwa wanarudisha pesa....za apllicant....au zinakwenda serikalini..
 
Akkosa imekula kwako yaan hairudi hyo..na hyo inauma zaid kwenye kuomba mkopo elfu 30 hapo kupata na kukosa n 50-50...
 
jamani leo kuna ndugu yangu nimemlipia elfu hamsini kwa ajili ya kusoma degree mwaka huu...kupitia mtandao wa nacte kwa equivalent

kwa maisha ya sasa elfu hamsini ni ndefuu sana....si mchezo ivi ikitokea kweli mtu amekosaa chuo hivi hawa jamaa huwa wanarudisha pesa....za apllicant....au zinakwenda serikalini..

mkuu we acha tu--serikali imeona itumie kigezo cha ukosefu wa nafasi za masomo kuwakamua watanzania.
 
jamani leo kuna ndugu yangu nimemlipia elfu hamsini kwa ajili ya kusoma degree mwaka huu...kupitia mtandao wa nacte kwa equivalent

kwa maisha ya sasa elfu hamsini ni ndefuu sana....si mchezo ivi ikitokea kweli mtu amekosaa chuo hivi hawa jamaa huwa wanarudisha pesa....za apllicant....au zinakwenda serikalini..

Mkuu kinachotakiwa awe na GPA ya 2.7 yeye anangapi
 
jamani leo kuna ndugu yangu nimemlipia elfu hamsini kwa ajili ya kusoma degree mwaka huu...kupitia mtandao wa nacte kwa equivalent

kwa maisha ya sasa elfu hamsini ni ndefuu sana....si mchezo ivi ikitokea kweli mtu amekosaa chuo hivi hawa jamaa huwa wanarudisha pesa....za apllicant....au zinakwenda serikalini..

mkuu hiyo sahau kingereza kizuri wanaita none refundable
 
GPA ya nini wakati ni undergraduate???punguza viroba

Mimi na wewe nani mwenye viroba? Ukisoma maelezo yake kaandika kaomba degree kwa kutumia equivalent zake sasa fafanua anamaanisha nini anaposema equivalent
 
Back
Top Bottom