Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Leo nimemuona waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye Panel na Mabalozi.
 
[TH="colspan: 5, align: left"]
EDUCATION

RED and Bold, No comment
 
Kama unashangazwa na ya Nchimbi subiri hao walioongezewa alama baada ya kushindwa kufikia viwango vilivyowekwa. Interaction yao will be worse. They cannot compete anywhere.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
[TH="colspan: 5, align: left"]

RED and Bold, No comment

Duh,hii kali! Yaani Masters na PHD amesoma kwa wakati mmoja? Itabidi hizi doctorate za Tz ziangaliwe upya.
 
Uki staajabu ya Nchimbi utayaona ya Mulugo,hii ndio TZ bana kuitwa msomi sio mpaka uende darasani.
 
Reactions: Izz
Mbona humuukizi u profesa wa maji marefu
 
Nchimbi ni dr phd holder tuligraduate wote mwaka 2011 hy ya 2003 mmeokota wapi alitembea majestically wkt anaenda kutunukiwa na picha zipo wivu tuu bahati ya mwenzio........
 
Nchimbi ni dr phd holder tuligraduate wote mwaka 2011 hy ya 2003 mmeokota wapi alitembea majestically wkt anaenda kutunukiwa na picha zipo wivu tuu bahati ya mwenzio........

hujajibu hoja ya mleta mada!, ni doctor wa nini? 2011 mligraduate wote sawa, mligraduate wapi?! ulipaswa kufafanua, na hiyo MBA, nayo vipi?
 
Hiv wanajisikiaje kujiita hivyo, inatuuma sana sisi tuliokomaa mpaka tukapata degree zetu alafu anakuja mtu wanamwingza kwenye idadi ya wasomi ilihali hajasoma, watu kama hawa watapata wapi tchungu na elimu?

Inauma sana, mwaka 2015 utaskia watahiniwa wote wamefaulu wakajaze nafasi vyuo vikuu
 
Nchimbi ni dr phd holder tuligraduate wote mwaka 2011 hy ya 2003 mmeokota wapi alitembea majestically wkt anaenda kutunukiwa na picha zipo wivu tuu bahati ya mwenzio........

Bahati ya nini?
Kupata PhD ni bahati?
 
Hiyo Commonwealth Open University haitambuliki na TCU. Nakumbuka walimgomea mzee Tingatinga Phd yake kwa sababu aliipata hapo. Ndio zile zile za Phdakina Mas aburi na Diodorus Kamala
 
Kama unashangazwa na ya Nchimbi subiri hao walioongezewa alama baada ya kushindwa kufikia viwango vilivyowekwa. Interaction yao will be worse. They cannot compete anywhere.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Yap ya mwaka huu Kali, badala ya wanafunzi ku-reseat naona Baraza limeamua ku-reseat lenyewe.
 
ebu tuwe serious kwanza mazee... inakuaje phd na masters at the same time? me naomba mnieleweshe jaman, sikanii mtu
 
Nadhani suala la elimu ya Dr. Emmanuel Nchimbi, linawaumiza vichwa wengi sana. Basi kifupi ni kwamba Dr. Emmanuel Nchimbi alipata PhD kutoka Commonwealth Open University, Chuo ambacho kilithibitika kwamba hakina ithibati na mamlaka yenye mamlaka TZ yaani TCU. Hata hivyo, Emmanuel Nchimbi alijiandikisha kwa masomo ya Uzamivu pale Mzumbe University mwaka 2006 if am not mistaken na alitunukiwa shahada ya Uzamivu Mwaka 2011. Abstract ya Thesis yake inapatikana kwa link hii. http://drps.mzumbe.ac.tz/documents/Mzumbe_PhD_Abstracts_1.pdf. Swali la kwamba ni PhD katika fani gani, ingefaa kukihoji Chuo kilichomtunuku hiyo PhD na watakuambia walimutunuku PhD katika fani gani. But the little I know is that, he was registered in the School of Public Administration and Management of Mzumbe University.

Vinginevyo nawashauri kufanya utafiti wa kina, na sio kuja hum JF na kukusanya opinions za watu na kuja na conclussions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…