Aligraduate Mzumbe University mwaka 2011, hata kwenye vyombo vya habari ilioneshwa. Sio habari za vifichoni, kama una maswali nenda mahakamani, una uwezo wa kuiomba Court ipitie mchakato wa masomo ya Uzamivu na uhalali wa Shahada aliyotunukiwa, kama sio halali basi PhD yake itabatilishwa. Kinyume na hapo unapiga porojo za kijiwe cha kahawa.
Follow this link http://drps.mzumbe.ac.tz/documents/Mzumbe_PhD_Abstracts_1.pdf
Follow this link http://drps.mzumbe.ac.tz/documents/Mzumbe_PhD_Abstracts_1.pdf