Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???

Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???

Aligraduate Mzumbe University mwaka 2011, hata kwenye vyombo vya habari ilioneshwa. Sio habari za vifichoni, kama una maswali nenda mahakamani, una uwezo wa kuiomba Court ipitie mchakato wa masomo ya Uzamivu na uhalali wa Shahada aliyotunukiwa, kama sio halali basi PhD yake itabatilishwa. Kinyume na hapo unapiga porojo za kijiwe cha kahawa.
Follow this link http://drps.mzumbe.ac.tz/documents/Mzumbe_PhD_Abstracts_1.pdf
 
Hiyo Commonwealth Open University haitambuliki na TCU. Nakumbuka walimgomea mzee Tingatinga Phd yake kwa sababu aliipata hapo. Ndio zile zile za Phdakina Mas aburi na Diodorus Kamala

Wakati TCU hawaitambui Commonwealth Open University na pia Commonwealth Open University hawaitambui TCU.
TCU is very recent kuwa na meno ya kuvitambua vyuo ambavyo vingine vilikuwepo kabla hata ya uwepo wa TCU. Ingekuwepo hapo awali ingeshawashauri watu wasisome katika vyuo visivyo na ithibati. Kabla yake ilikuwepo HEAC kwa wale mnaokumbuka, je walikuwa wapi kutoa wanavyovitambua duniani? Thats the weakness of the whole system.
 
Jamani mi kilichonishtua ni jinsi alivyokuwa akibonga kimombo......anakwambia ......if still fighting then there will be no country?????/?
tehe tehe
 
Hii ni kasumba ya kudhani kuongea kingereza vizuri ni usomi. Jee hata ukiwa Professor utaweza kuongea kifaransa? Kichina? Kiitaliano? Kama kuongoe kingereza vizuri ndo kigezo cha Usomi bas Uingereza wote wangekuwa na PhD. Kumbuka umahiri wa lugha (language competency) ni tofauti na academic competency. Tukianza kusoma Kifaransa leo na Dr. Kitila Mkumbo, baada ya miezi sita tutakuwa na competency sawa pasipo kujali yeye ni PhD holder. Tukiongea kifaransa watu hawatapaswa kusema mbona huyu ni PhD holder kaongea vibaya sawa na yule ambaye si PhD holder.

Nota Bene: Academic Competency is different from Language Competency.
 
Kwani hiyo PHD aliisoma katika lugha gani? Kama ni kiingereza basi lazima akijue vizuri kwa kumaanisha kwamba awe na uwezo wa kuwasiliana na watu wa mataifa katika lugha hiyo.
PHD holder bila kujua mpangilio wa maneno na kujing'atang'ata ulimu hapo ni = na communication breakdown.
Wale mabalozi walipata wakati mgumu kumuelewa kaka.
 
Acha Kukurupuka, Hiyo PHD aliipata kwa kutumia Kiswahili ama Kichina??
 
Kwani hiyo PHD aliisoma katika lugha gani? Kama ni kiingereza basi lazima akijue vizuri kwa kumaanisha kwamba awe na uwezo wa kuwasiliana na watu wa mataifa katika lugha hiyo.
PHD holder bila kujua mpangilio wa maneno na kujing'atang'ata ulimu hapo ni = na communication breakdown.
Wale mabalozi walipata wakati mgumu kumuelewa kaka.

Kuna mambo mawili hapa au hujaipata vizuri hoja yang au unaonekana kutototaka kuilewa. Kuwa na PhD sio hoja ya kuwa competent katika kingereza. Tatizo la lugha ni tatizo hata katika kiswahili ni shida Mkuu.
 
Jamani mi kilichonishtua ni jinsi alivyokuwa akibonga kimombo......anakwambia ......if still fighting then there will be no country?????/?
tehe tehe

Ebwana eee! We umenivunja mbavu bwana! Labda kwa vile watu hutafsiri PHD kama Permanent Head Damage, huenda ubongo wake umeharibika kupitiliza...
 
Acha Kukurupuka, Hiyo PHD aliipata kwa kutumia Kiswahili ama Kichina??[/QUOTE

Sijui kati yangu na wewe nani kakurupuka. Onesha na thibitisha kukurupuka kwangu kwa hoja.

PHD Holder ====Aliipata kwa Kingoni ama Kiingereza???
PHD Holder, competence yake in English Speaking ni kama Mtoto wa Kidato Cha Nne, Shule ya Kata.

Hii ni Zaid ya Aibu
 
Kupata PhD kwa kiingereza sio hoja ya kuwa competent. Kumbuka competency is the interplay of many factors. Weakness yake ya kiingereza isingetarajiwa kurekebishika katika uandishi wa thesis. Mtu asipojifunza kiingereza vizuri katika level ya secondari, unadhani atajua kiingereza kwa ufasaha akiwa University kwa kusoma somo la Communication Skills?

Kama upo makini utagundua hoja yangu. Lakini tukirudi kwa swali la msingi la mleta hoja ni kwamba Emmanuel Nchimbi ana PhD ya nini? Ingefaa kujikita katika hoja ya msingi.
 
wivu tu teh teh inawauma majibu ya mkato kwa cdm bungeni teh teh nchimbi na atawakata mapembe yenu yote ...kaanza na mtwara kelele zimeanza toka huku cuf huku cdm ha ha ha
 
Kupata PhD kwa kiingereza sio hoja ya kuwa competent. Kumbuka competency is the interplay of many factors. Weakness yake ya kiingereza isingetarajiwa kurekebishika katika uandishi wa thesis. Mtu asipojifunza kiingereza vizuri katika level ya secondari, unadhani atajua kiingereza kwa ufasaha akiwa University kwa kusoma somo la Communication Skills?

Kama upo makini utagundua hoja yangu. Lakini tukirudi kwa swali la msingi la mleta hoja ni kwamba Emmanuel Nchimbi ana PhD ya nini? Ingefaa kujikita katika hoja ya msingi.

Ok,
Na mimi ndo Mleta Hoja mwenyewe
 
Hivi degree unapewa au unatunukiwa baada ya kazi ya masomo na utafiti? Nakuunga mkono kwamba mtunukiwa hana shida yeyote

Sina hakika kama kweli walimtunukia.
Nina wasi wasi kwamba walimpa.
 
Ok,
Na mimi ndo Mleta Hoja mwenyewe

Kwa hiyo umeleta hoja halafu hujui unataka watu wajadili nini. Kuna very obvious falacy katika mtiririko wa arguments zako. Title ya three ilikuwa "Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???" katika maelezo yako unasema ulimwona akiwa katika Panel ya Mabalozi. Baada ya kupewa maelezo umeenda kwenye hoja ya makosa ya lugha aliyoyasikia.

So unataka watu wajadili nini na sio kujibu kwamba wewe ndo mlete uzi. Naanza kupata mashaka juu ya uwezo wako uchambuzi.

Remember that "learning is not only acquiring new knowledge and skills, but sometimes a person needs to unlearn in order to learn.
 
Back
Top Bottom