Kwa hiyo umeleta hoja halafu hujui unataka watu wajadili nini. Kuna very obvious falacy katika mtiririko wa arguments zako. Title ya three ilikuwa "Hivi Emmanuel Nchimbi ni Dr Wa Nini???" katika maelezo yako unasema ulimwona akiwa katika Panel ya Mabalozi. Baada ya kupewa maelezo umeenda kwenye hoja ya makosa ya lugha aliyoyasikia.
So unataka watu wajadili nini na sio kujibu kwamba wewe ndo mlete uzi. Naanza kupata mashaka juu ya uwezo wako uchambuzi.
Remember that "learning is not only acquiring new knowledge and skills, but sometimes a person needs to unlearn in order to learn.
Msingi wa Kuhoji kwangu "Hivi Nchimbi ni Dr wa nini?" ni Baada ya Kuona jinsi alivyokuwa anajie xpress Mbele ya Mabalozi.
Upo, sijakurupuka tu kutaka kujua ni Dr wa Nini
Any how, inahitaj Kufikirisha kichwa Kidogo kuelewa Post zangu, Pole