Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
651
Reaction score
2,246
Bulaya ni aina ya watu waropokaji na wasio na staha kabisa eti ajabu ndiye Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!


Mnadhimu ni sharti awe mtu mwenye sifa zifuatazo;

Uchaji,
busara,
utii,
hekima na msikivu vitu ambavyo yule dada hana.


Ifikie wakati kuwepo na utaratibu maalum na mahsusi wa kuteua watu wa ngazi kama hiyo
 
Ulitaka awe mtiifu Kama we wewe binti?
 
Ulitaka mrithi wa Tundu Lisu awe na ubora gani?!
 
Ni mke wa kiongozi mkubwa kwa upande wake mle chamani
 
Hivyo vyote ulivovitaja hapo kwani spika ana hata kimoja??? Kama Spika tu mwenyewe hana hizo sifa kumng'ang'ania Bulaya kuna mantiki gani???
 
Yule shemeji yangu wakati yuko ccm alikuwa mwenye heshima na adabu kubwa ila baada ya kuingia Cdm na Kuingia kwenye mapenzi yasiyo rasmi akili imemruka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…