Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

Bulaya ni aina ya watu waropokaji na wasio na staha kabisa eti ajabu ndiye Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!


Mnadhimu ni sharti awe mtu mwenye sifa zifuatazo;

Uchaji,
busara,
utii,
hekima na msikivu vitu ambavyo yule dada hana.


Ifikie wakati kuwepo na utaratibu maalum na mahsusi wa kuteua watu wa ngazi kama hiyo
Pachupachu!
Mzee wa 'nyagi' hana tabia ya kukosea shabaha
 
Hebu angalia, kawaacha wafia chama km akina lema, mdee, nawengine! Nasikia anatoaga vyote dada wa watu hana roho mby!

Hata siku ya tukio la faru john nasikia walikuwa wte. Ilibidi wafute kwanza picha za cctv kabla ya kuliweka wazi.
 
Sifa kubwa Ni Uropokaji,kuwa na kesi mahakamani, kutukana Serikali na uwe na ukaribu na Mbowe!!!
 
Back
Top Bottom