Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

Wakati wa Sheria mpya ya Mafao hakuna mbunge hata mmoja wa ccm aliyethubutu kupaza sauti mpaka Rais akatengua ile kanuni na kuiahirisha kama sio Ester Bulaya Watanzania muwe na kumbukumbu sio kuwadharau watu
 

Uko sahihi kabisa, ila nijuavyo spika wa bunge yuko juu ya cheo chochote huko bungeni, pata picha spika mwanaume mtu mzima kaenda kumtembelea Mbowe, aliporudi huko anaongoza upotoshaji kuwa Mbowe kalewa ndio akaanguka. Je spika kabisa asiye mropokaji hajui kuwa kuna CCTV Cameras, hivyo alipaswa kuhitaji footage za tukio lile ajiridhishe na tukio zima? Hebu nipe tofauti ya huyo spika kwenye uropokaji na staha, ukimlinganisha na Bulaya ambaye ni mwanamke?
 

Hebu tuambie kama wewe unasema hizo sifa ulizotaja hana, ni nani basi angefaa apewe hiyo nafasi!?
Jibu straight bila kupepesa kwamba flani ndiye angefaa bila kuacha kuelezea sifa zake zote!!
 
nikimuona anavyojitutumua kuongea huwa nacheka mbavu sina.

MIMI NASUBIRI BAADA YA MUHESHIMIWA MBOWE ni nani atakuwa KUB.

Kama Mimi ninavyocheka hapa ulivyokuwa umejitutumua kuandika hii comment!
 
We acha kusema chakula ya boss
 
Huyu dada alikuwa Ccm lakini nashangaa yupo cdm itakuwa alimfata shoga yake maana ake.ndo yupo huko!
 
Yule shemeji yangu wakati yuko ccm alikuwa mwenye heshima na adabu kubwa ila baada ya kuingia Cdm na Kuingia kwenye mapenzi yasiyo rasmi akili imemruka kabisa.
Kama wewe ulivyorukwa akili kwa kutumika kinyume cha maumbile na wajuba wa Lumumba
 
Another new certified idiot in town.
 
MKUU UCHAJI WA TECKNO AU INFINIX
 
Hoja za kujaliwa yaujinga
 
Kwa sasa bado ila Chadema wakichukua dola hayo yatawezekana, tulimsikia mtia nia mmoja akisema hivyo.
Lakini mkuu kwa tz sidhani kama una sheria yA moja kwa moja inayotoa adhabu kwa watu wanaosagana, hata kwenye penal code kuna section nadhani inazungumzia issue za Anal Penetration wakati wasagaji hawafanyi Anal Penetration, labda watumi sheria ya SOSPA (Sheria ya Makosa ya Kujamiiana (Sospa 1998) ..... I stand to be corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…