Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

Aliyemtangulia pia alikuwa na sifa kama hizo alizonazo huyo bi dada wa mwamba.
 
Katika viongozi woote wa upinzani, Kiongozi pekee ambaye namuelewa ni James Mbatia tu. Maana yeye siku zote anatanguliza maslahi ya "MAMA TANZANIA MBELE". Likifanywa zuri kwa mama yetu Tanzania, atapongeza. Likifanywa tofauti kwa mama yetu Tanzania, atashauri. Mimi mpaka wakati mwingine nafikiria kwamba pegine hana chama. Labda chama chake ni Tanzania. Ni mtu muelewa sana.
 
Mpwaausifikeehukoooo

Naombaatuchaaaaaaat

Naombaaatuchaaaaat
 
Kwanza ujiulizi alishindaje ubunge mbele ya kidume Tyson katika sanduku la kura nakumchinjilia mbali mbele ya vyombo vya sheria.
Nadhani unaelewa watu wa Musoma wanavyomchukulia mwana mama.
 
Tatizo chama chake ndio kinapenda waropokaji kama huyo
 

Mkuu wewe ni mpambe wa Wasirra
 
Alipata baada ya kutombwa na Mbowe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods mmeruhusu watu kujisajili kwa majina ya KIJINGA na kuonesha ujinga hadharani?
 
SIFA HIZO HUZIONI SABABU UPO CCM
PILI KWA SIASA ZA SASA UKIWA UPINZANI LAZIMA UWE NA ROHO YA PAKA VINGINEVYO UNAPIGIWA BEI
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people". Eleanor Roosevelt. What does the ongoing discussion tell us about the minds of JF Members?
 
Bulaya hakuweza kuteuliwa. Turudi shule kujifunza kiswahili
 
Alishawahi kukurupokea? Unaweza kumlinganisha na Msukuma au Lusinde?
 
Yaani wewe umejiunga jana 11.06.2020 tayari ushavalishwa dela la lumumba na kuanza kurohoja pumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…