Hivi Faiza Haider (aliekuwa presenter wa kipindi cha 5 selekt cha EATV) kaishia wapi?

Hivi Faiza Haider (aliekuwa presenter wa kipindi cha 5 selekt cha EATV) kaishia wapi?

ebhanaeeee!!!!.ckujua kama celebrity forum kuna mambo namna hii.....eeheee naskia young d anatumia madude siku moja moja chini ya usimamizi wa mtoto tukutu dogo himidu-26 #,nyandu tozzzzz.sina hakika lakini.

habari ndo hiyo na bado analiwa kiboga
 
habari ndo hiyo na bado analiwa kiboga

Nitakutumia na picha zake, yeye na shoga ake wataalamu wa kuiba waume za watu apa mujini. Hadi wanawake wanawaogopa , maana wanaiba sana waume za watu
 
Nitakutumia na picha zake, yeye na shoga ake wataalamu wa kuiba waume za watu apa mujini. Hadi wanawake wanawaogopa , maana wanaiba sana waume za watu

Binamu nimekumiss.Ila I salute you kwa ubuyu
 
Mrembo by Nature na Dinazarde mmeona vichambo kule kwa sintah? Dah eti tunaambiwa sasa ivi tumehamia kwa sintah tumekimbia JF, halafu kuna mtu sijui nani alikuwa anamponda mama ubaya naambiwa eti ni mimi, dah umaarufu huu ni kazi kweli kweli, mwingine tena dinazarde na mrembo by nature, mimi sipo kwa sintah kusema za ukweli, labda nyie. Kule sipawezi kabisa kwanza watu wa kule sijawazoea hata kidogo
 
Last edited by a moderator:

Hahahaa binamu watu wa mle wengi ni watoto wamefunga shule,tena mpite hapa na mkanichambe huko mfyuu,we kule Fanya kupita tuu, huku ndo tumekuzoeaa
 
Last edited by a moderator:
aisee mkuu warumi nisaidie kupata info ya mahali huyu demu faiza haider anapokaa, anaonekana ni mtamu balaa
 
Mimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick
humjui wewe huyo mtoto namjua tangu kinasoma shule ya msingi kalikua kanakaa na bibi yake magomeni bibi yake anavuta misigara kama gari moshi
alikua anaishi makuti kwenye nyumba ya mzungu flani hivi alimuoa mnyiramba sijui undugu wao upoje maana bibi yake alikua mweupeee baada ya yule mzungu kuondoka pale goma likawa gumu ndio akaondoka siku namuona eatv na mashauzi kibao nikampuuza
babaake sikuwahi kumuona ila amekaa na bibi yake tangu kipo chekechea kilikua kitoto kijanja janja tu ila kilikua kipo class kwa ukilinganisha na watoto wengine kwa kipindi kile
 
Mpaka ananipa mshangao....maana kwa maisha yalivyo magumu watu kila saa wako speed kufukuzia faranga sijui mwenzetu anapataje muda wa kuchunguza mambo ya watu kiasi hiki...??.....
Kuna watu wanalipwa kwa umbea so "usione ukadhani"
 
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming celebrities wengine kama vile Lulu, meninah atick vanessa mdee etc

Hivi kuna skendo yoyote inayomhusu yeye, rumours etc..tujuzane wanajamvi..[/QUOTE]
Sikujua kama kuna watu wa.p.uuzi kiasi hiki.....YAni unakaa nyuma ya keyboard kutafuta skendo za mtu..??
 
Mimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick
Mwanaume mwenye tabia za umama! Hivi wanaume mmepatwa na nn?
 
Picha????
b2ab714b27051dbd1b4efba78c069e82.jpg
 
Huo muda mnaoupoteza kwa kuwaza na kuwazua maskendo ya watu ambao hawana tija katika maisha yenu mtakuja kuujutia...
Muda siku zote hautoshi....ndio maana hakuna mtu aliyekufa bila ya kuacha mipango mingi tu....
Kwa jinsi mnavyoumiza vichwa kuchunguza mambo ya kipuuzi mngekuwa mnaumiza vichwa jinsi ya kutatua changamoto zinazo wakabili kwa kweli mngekuwa mbali sana maana mnatumia nguvu nyingi sana....
Tujitahidi kuutumia muda vizuri maana ukipotea ndio basi tena...
[emoji106]
 
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming celebrities wengine kama vile Lulu, meninah atick vanessa mdee etc

Hivi kuna skendo yoyote inayomhusu yeye, rumours etc..tujuzane wanajamvi..

attachment boss
 
Back
Top Bottom