ebhanaeeee!!!!.ckujua kama celebrity forum kuna mambo namna hii.....eeheee naskia young d anatumia madude siku moja moja chini ya usimamizi wa mtoto tukutu dogo himidu-26 #,nyandu tozzzzz.sina hakika lakini.
habari ndo hiyo na bado analiwa kiboga
Nitakutumia na picha zake, yeye na shoga ake wataalamu wa kuiba waume za watu apa mujini. Hadi wanawake wanawaogopa , maana wanaiba sana waume za watu
Binamu nimekumiss.Ila I salute you kwa ubuyu
skendo yake naskia alipata div 0 form 4 mwaka jana nadhani
Mrembo by Nature na Dinazarde mmeona vichambo kule kwa sintah? Dah eti tunaambiwa sasa ivi tumehamia kwa sintah tumekimbia JF, halafu kuna mtu sijui nani alikuwa anamponda mama ubaya naambiwa eti ni mimi, dah umaarufu huu ni kazi kweli kweli, mwingine tena dinazarde na mrembo by nature, mimi sipo kwa sintah kusema za ukweli, labda nyie. Kule sipawezi kabisa kwanza watu wa kule sijawazoea hata kidogo
humjui wewe huyo mtoto namjua tangu kinasoma shule ya msingi kalikua kanakaa na bibi yake magomeni bibi yake anavuta misigara kama gari moshiMimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick
Kuna watu wanalipwa kwa umbea so "usione ukadhani"Mpaka ananipa mshangao....maana kwa maisha yalivyo magumu watu kila saa wako speed kufukuzia faranga sijui mwenzetu anapataje muda wa kuchunguza mambo ya watu kiasi hiki...??.....
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming celebrities wengine kama vile Lulu, meninah atick vanessa mdee etc
Hivi kuna skendo yoyote inayomhusu yeye, rumours etc..tujuzane wanajamvi..[/QUOTE]
Sikujua kama kuna watu wa.p.uuzi kiasi hiki.....YAni unakaa nyuma ya keyboard kutafuta skendo za mtu..??
skendo yake naskia alipata div 0 form 4 mwaka jana nadhani
Yeah kalipata bashitehahaa yani yule mdada na uzuri wote ule alipata bashite, mmh Evelyn Salt
Mwanaume mwenye tabia za umama! Hivi wanaume mmepatwa na nn?Mimi namjua kuliko unavyomjua wewe, baba yake anamiliki one of the yards maeneo ya kijitonyama karibia na KD hotel, Baba yake ana range ya silver n mark 2 kama sikosei, na kwao wapo watatu, yeye ndo wa kwanza anafuatia mdogo wake wa pil mwenye miaka 5 na mwingine aliyezaliwa ivi karibuni , baba yake ana pesa sana, walikuwa wanaishi mbezi beach karibia na inrerchick
Kweli madam unawajua kiundani wanafunzi wakoYeah kalipata bashite
Kwa kuwa hatufahamiani haitupi sababu ya kuwavunjia wengine heshimaYupo humu anaitwa Faiza Fox
Picha????
[emoji106]Huo muda mnaoupoteza kwa kuwaza na kuwazua maskendo ya watu ambao hawana tija katika maisha yenu mtakuja kuujutia...
Muda siku zote hautoshi....ndio maana hakuna mtu aliyekufa bila ya kuacha mipango mingi tu....
Kwa jinsi mnavyoumiza vichwa kuchunguza mambo ya kipuuzi mngekuwa mnaumiza vichwa jinsi ya kutatua changamoto zinazo wakabili kwa kweli mngekuwa mbali sana maana mnatumia nguvu nyingi sana....
Tujitahidi kuutumia muda vizuri maana ukipotea ndio basi tena...
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming celebrities wengine kama vile Lulu, meninah atick vanessa mdee etc
Hivi kuna skendo yoyote inayomhusu yeye, rumours etc..tujuzane wanajamvi..