Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Naskia wanapiga hela mbaya kabisa sema hawana show off za mitandao.Banana zolo njoo king Solomon yupo kila ijumaa& jmosi,
Zahir Ali zolo njoo zhuan masaki,kila w/end,
Kifupi bado wako kwenye game.
Mkuu umenikumbusha stori moja ambayo tulikua tunasimuliwa na kaka zetu enzi hizo tunakua. Aliwahi kutokea dogo mmoja mtundu sana.Dah huku kitaa alikuwepo mjeda mmoja ana bonge la mwili mtaalamu wa ngumi alikuwa anafundisha ngumi
alikuwa anaitwa Ally Zolo mjinga yeyote anayejifanya anaonea ilikuwa tunamuendea Zolo mtetezi wetu
Umenikumbusha kitambo
Mkuu umenikumbusha stori moja ambayo tulikua tunasimuliwa na kaka zetu enzi hizo tunakua. Aliwahi kutokea dogo mmoja mtundu sana.Dah huku kitaa alikuwepo mjeda mmoja ana bonge la mwili mtaalamu wa ngumi alikuwa anafundisha ngumi
alikuwa anaitwa Ally Zolo mjinga yeyote anayejifanya anaonea ilikuwa tunamuendea Zolo mtetezi wetu
Umenikumbusha kitambo
Mkuu umenikumbusha stori moja ambayo tulikua tunasimuliwa na kaka zetu enzi hizo tunakua. Aliwahi kutokea dogo mmoja mtundu sana.
Dogo Amos alikua anapenda kupiga watoto njiani, wakati anaenda shule, sokoni na hata kanisani.
Kuna siku wakati anaenda kanisani, akakutana na dogo mmoja, akamuita;
AMOS; Wewe dogo njoo hapa nakuita mimi baba yako.
Kumbe yule dogo alikua kipofu hivyo alisikia sauti ikisema ni baba yake lakini sio ile aliyoizoea. Akaogopa sana, akaanza kulia kwa nguvu(sauti)
Dogo amosi kuona vile akamkimbilia yule dogo kipofu ,akampiga kwenzi moja la nguvu halafu akakimbia kuendelea na safari yake.
Kumbe kuna madogo walimuona hivyo wakaanza kumkimbiza,lakini kwa bahati nzuri akawazidi mbio akatokomea.
Alipokuwa katika misa akawa hasikilizi mahubiri bali yuko bize anaangaza madogo wa kuwaonea akishatoka kwenye misa, aliporudisha mawazo yake kwa muhubiri akasikia maneno haya; "ukiua kwa upanga,utauliwa kwa upanga, ukimuonea mwenzako na wewe utaonewa" Dogo amosi akadharau akaendelea na mpango wake wa kutafuta madogo wa kuwaonea mpaka misa ikaisha.
Wakati yupo njiani anarudi kwao akakumbuka ya kuwa ana msala wa yule dogo kipofu, hivyo wasiwasi ukamjaa, asijue la kufanya, wakati akiwa katikati ya lindi la mawazo ile kauli ya mchungaji ikamjia akilini "UKIMWONEA MWENZAKO NA WEWE UTAONEWA MARA MBILI"Dah dogo Amos Mbabe sana!
Ally Zoro au Zahir Ally Zoro ?Wakuu nawasalimia,
Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa na baba (Ally Zoro) pamoja na watoto wake Banana Zoro na Maunda Zoro, imepoteza umaarufu wake kwa kasi sana na kupotea kabsa katika anga za kimziki
Je, familia hii iko wapi?